Sawa, Kwani hao watz wengine unaosema hawajui kingreza nao ni mawaziri??Watanzania wengi wanaomcheka Jenista Mhagama hawana uwezo wa kuongea sentensi hata 2 zilizonyooka za kiingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, Kwani hao watz wengine unaosema hawajui kingreza nao ni mawaziri??Watanzania wengi wanaomcheka Jenista Mhagama hawana uwezo wa kuongea sentensi hata 2 zilizonyooka za kiingereza.
Waziri wa afya huyo..na tunamtegemea siku aje huko new York kwenye summit kubwa ya WHO 😄Nimesikiliza alivyoanza tu, nikashindwa kuendelea, kwa maumivu niliyoyapata.
Tunajipa shida bure wakati kunavifaa vinavyotafsiri lugha ...kiswahili kinakua sasa ni wakati wa viongozi wetu kukionesha kwa vitendo hasa kwenye mikutano kama hiyoNimesikiliza alivyoanza tu, nikashindwa kuendelea, kwa maumivu niliyoyapata.
Ahahahahaha!!!Ni kweli, wamefanikiwa kuliko mimi kwa kaujiriwa na serekali. Ila mimi nina maisha mazuri bila kuajiriwa na yoyote.
Aanze kuifanyia kazi afya ya Kiingereza chake.Waziri wa afya huyo..na tunamtegemea siku aje huko new York kwenye summit kubwa ya WHO 😄
Ova
Yes, ni vizuri kufanye effort. Lakini kwa upande wangu alijitahidi sana na huo ndio uwezo wake kwa sasa. Kiingereza hakitumiki Tanzania in daily conversation. Kwa hiyo, inabaki effort ya kila mmoja wetu kujitahidi angalau kuboresha fluency. Hata mimi fluency yangu imepungua kuliko ilivyokuwa by 2003 nilipokuwa nakitumia kwenye daily conversation. Ila katika kuandika, labda hapo nime'improve' zaidi maana nasoma na kuandika Kiingereza almost kila siku, ila sipati fursa nyingi za ku'practise' spoken English na hivyo usipofanya hivyo kwa muda mrefu, ulimi unakuwa mzito, unless kama unasoma loudly kila siku.Tunadanganyana hapa kuwa kiswahili kimesambaa hell no, kama unasafiri sana kiswahili ni small minor language hakina influence kama lugha zingine.
Wachina lugha ya imekuwa kutokana na influence waliyonayo duniani. Na pia bado kingereza kiko kwenye mitaala yao period, wanajua kabisa wakienda kwenye nchi za watu wataongea kingereza, utauzaje bidhaa europe, us without kufaham kingereza?
Huwa wanaenda kusoma vyuo vikuu Us na europe , kule masomo full english, wataelewaje kama hawajasoma?
english haikwepeki maana inatumika almost on everything, europe na us walisambaza hii lugha kutokana na influence waliyonayo duniani, today ni business language
Sisemi kiswahili ni kibaya, but unapokuwa kiongozi wajuu lazima ujue atleast basic, uweze kuelewa na kuandika na kusikiliza
“Amejitahidi”. Tuna individuals hapa nchini ambao wana uwezo wa kuongea na kuandika fluent english, ni wasomi doctors and masters. Haswa doctor wa afya ambao wengi masters na phds wanasomea nje.Yes, ni vizuri kufanye effort. Lakini kwa upande wangu alijitahidi sana na huo ndio uwezo wake kwa sasa. Kiingereza hakitumiki Tanzania in daily conversation. Kwa hiyo, inabaki effort ya kila mmoja wetu kujitahidi angalau kuboresha fluency. Hata mimi fluency yangu imepungua kuliko ilivyokuwa by 2003 nilipokuwa nakitumia kwenye daily conversation. Ila katika kuandika, labda hapo nime'improve' zaidi maana nasoma na kuandika Kiingereza almost kila siku, ila sipati fursa nyingi za ku'practise' spoken English na hivyo usipofanya hivyo kwa muda mrefu, ulimi unakuwa mzito, unless kama unasoma loudly kila siku.
Ukisikia uchawi hupo basi ni watu kama Jenista MuhagamaMiongoni mwa Mawaziri ambao sijawahi kuwaelewa.... Na sijawahi kumkubali kabisa......😀😀😀
Akili za kitumwa zinakusumbua tu kiongozi. TZ tuna rasilimari kibao hivyo zinatosha kuwafanya hao mabwana zako kutufuata na kujifunza lugha yetu. Tatizo lilianza mwaka huu hapa chini.ACha utoto Urusi ndo ufananishe na Tanzania mzima kweli kwa nchi changa kama Tanzania kujua kingereza ni lazima sio Ombi tena level ya waziri Come on Ona aibu kutetea Ujinga
Kuna watu wanasema hakuna uchawiHuyu mama huzipa nini mamlaka za uteuzi? Mbona mweupe lakini haachwi
You are right. Teuzi zingekuwa zinafuata ubobezi katika taaluma fulani - iwe elimu, afya, sheria, madini, kilimo, mawasiliano na habari, mazingira, uwekezaji, etc. Lakini baadhi hazifuati utaratibu huu, na sijui kwa nini. Tatatizo linaweza kujitokeza kwamba waziri anaweza kutoa maagizo ambayo watekelezaji kitaaluma wanaona haiwezekani. Sasa ikitokea hivyo sijui uamuzi unakuaje: kufuata maagizo au utaalamu unavyoelekeza?“Amejitahidi”. Tuna individuals hapa nchini ambao wana uwezo wa kuongea na kuandika fluent english, ni wasomi doctors and masters. Haswa doctor wa afya ambao wengi masters na phds wanasomea nje.
Why hiyo position anapewa career politician ambae ni under performer wakati kuna professionals wangefit hapo?
Uwaziri ni nafasi nyeti, why tunawapa watu ki chama ki kada na si kiuwezo?
The way ameenda kule anapresent nchi, kiongoz hata basic english ni tabu, taswira ya nchi inachafuka
Siyo watanzania, sema wabara, mbona wapwani wanaongea kiingereza vizuri? Tatizo la hao jamaa wabara ni wanakandamiza sana hadi kwenye kuongea, yaani kila kitu ni nguvu na amri tuKingereza na Mtanzania ni maadui wakubwa
Yaani kusoma tu kimombo kilichoandikwa kinaonesha udhaifu mkubwa wa umahiri wa lugha, kweli jinsia wanabebwa aisee!!!Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
Kuwa waziri na kujua kiingereza kwa ufasaha kuna uhusiano gani ?Sawa, Kwani hao watz wengine unaosema hawajui kingreza nao ni mawaziri??