Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Dogo aelewi somo binafsi nishamwambia mara kadhaa hao watu wana pita pita humu na hawawezi kuchukulia serious kwa mambo yako ya chit-chat na uwezi waongopea kama una ID’s kutwa zinachangia ujinga.Teuzi za Tanzania zinategemea unasmile vipi kwa wakubwa, nashangaa yule jamaa wa "Samia awabubujisha machozi wamasai" hawamuoni kabisa
Kwa tabia zake za JF nilishamwambia sehemu pekee wanaweza muonea huruma na kumpachika ni ndani ya chama maana ata hoja za msingi nje ya uchawa hana. Sasa nimeona uzi kapewa shavu kwenye chama kama kuna ukweli au la hatajua mwenyewe na mungu wake.