Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hiyo ni slavery mentality tu mkuu. Tembea uone. China, Urusi, Japan, Korea Kaskazini nk. Wanamaendeleo makubwa sana wakati hawatumii Kiingereza. Na kwa taarifa yako nchi ambazo zimejitenga na kiingereza ndio zilizoendelea sana tu lakini nchi zenye kuendekeza utumwa wa akili ndio nchi zilizonyuma kimaendeleo. Mpaka tutakapojitambua ndio tutapata maendeleo ya kweli.
Wee kilaza kweli unatulinganisha na china ? Global history unaijuwa? Shortly intelligence selection kunashida ...ingekuwa wizara ya Michezo sawa ....bongo wenyeupeo mdogo kushika Hatamu
 
Intro kama hiyo angeimeza tu ,kulikuwa hakuna haja ya makaratasi.

Ila Kinge ni noma sana aisee ,ukimuona akitema kiswahili yaani anatirika hatari lakini ikija Kinge utamuonea huruma michapio kama yote wakati anasoma on behalf of ma self ,senki you vere mache mr chea and all contestants who contested.
Kwani hukumbuki Comedian Nyerere alivyokuwa S Korea na alivyorudi?
 
Tatizo tuna wasomi wengi wanakizarau sana kiswahili na kukipenda sana English, wakati English yenyewe haiwapendi!!
Hata hicho Kimatumbi hakuna initiative yoyote.....matumizi makubwa ya Anasa ....Congo kiswahili ni mhimili huko nje Kiswahili kinafundishwa na wazungu na jirani zetu kama lugha muhimu sub Sahara resources harvesting .....huku investment kubwa ni UCHAWA na huko juu professional nyuma uchawa empty ubongo mbele....
Nibora kuanza upyaa kuliko tunakoelekea INASIKITISHA
 
Mnamuonea Jenny,
Kuna mwamba alikuwa ni 'Prezzo' kabisa lakini kwa mujibu wa Lissu,
Nanukuu na kwa tafsiri isiyo rasmi,
'Hawezi hata kutengeneza sentensi moja iliyonyooka ya Kiingereza kwa usahihi' kumbuka wasifu wake ni 'Doktori'
Hii Nchi ina maruweruwe yake jamani.
UNGEMTAJA KABISAAAAA INGEPENDEZA SANA YULE ZE ZE ZE ZE
 
Hili limama limevuka viwango, ila kibokoo yake Joseph Muhagama, alimnyoosha kweli kweli, hadi kugawana jimboo, famchezo nn.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 wamatengo wachawi sana
 
Back
Top Bottom