Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Dogo aelewi somo binafsi nishamwambia mara kadhaa hao watu wana pita pita humu na hawawezi kuchukulia serious kwa mambo yako ya chit-chat na uwezi waongopea kama una IDβs kutwa zinachangia ujinga.Teuzi za Tanzania zinategemea unasmile vipi kwa wakubwa, nashangaa yule jamaa wa "Samia awabubujisha machozi wamasai" hawamuoni kabisa
Alikua Philipo Mulugo, Waziri wa elimu kipindi hiko.Najaribu kuvuta kumbukumbu nasahau jina lake ila naye alikuwa waziri
Maprof wa Bongo sijui walisomajesomaje na kuna kipindi katika elimu zao walisoma nje.Prefesa wa Hesabu Prof. Ndalichako
Kwani lazima ahutubie Kingereza? Si angehutubia Kiswahili tu.Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville
Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.
Jionee..
PIA SOMA
- Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!
Kitendo cha kwenda huko tayari ni uslave.Mimi nilishajikomboa. Nilikaa Ulaya kwa muda kuna mzungu akataka kuniletea uslave kidogo nimpoteze!
Hayo ndio matunda ya Babu yenu JKNKingereza na Mtanzania ni maadui wakubwa
Hao watu wakiongea wanakuwa wanajua kasoro lafudhi. Huyu wetu angetumia tu Kiswahili kama kile anachotumia kuombea miongozo bungeni, ingefaa sana.Kusoma na kuandika kiingereza sio sawa na kuongea,
Mchina anaongeaje kiingereza!!?mrusi!!?SI Kwa mother tongue ya kwao!!?lakini kwenye kusoma na uandishi ni swala jingine!!
Mfano mi ni msukuma lafudhi yangu ni ya kisukuma na kiingereza changu kitakua Cha kisukuma kilafudhi lakini haimaanishi eti kuandika na kusoma vizuri na kuelewa nitashindwa!!
Pale udsm Kuna kina Dr. maugija,Dr. Shunula,Kina Dr. Mkayula walinifundisha course za sayansi lakini lafudhi Yao no kisukuma kitupu kabisa na kiingereza Chao vile vile!!
Swala la mikataba ni swala la kimfumo na matakwa ya viongozi na sio lugha kama tumepigwa tumepigwa kwasababu kama taifa tuliamua kupigwa Kwa kufanya compromise na viongozi wasio waadilifu na sio kiingereza!!!
Hivyo tu!
Ongea kwanza na huyo mtumwa aliyetumia lugha asiyo ifahamu vizuri.Bavicha bwana....!
Hivi mtaacha lini fikra za utumwa!?
Huyu ni wa ...Utamaduni na Michezo huko.Ila huyu kupewa wizara ya afya ni kutoitendea haki hiyo wizara
Aliyekwambia wanaojua Kiingereza hawalambi asali nani!?Mnajua uchawi na uchawa tuu
Round hii mtanyooka na mnavyojifanya wa mjin
Hapa ni mwendo wa kulamba asali tuu
English nendeni UK na USA
π€£Alikua Philipo Mulugo, Waziri wa elimu kipindi hiko.
π€£πmaana ata hoja za msingi nje ya uchawa hana.
π€£π€£π€£Na kuna kipindi ilikua inatumika kwenye kampeni kama kichekesho hasa upande wa chadema.
Mbona kile alichokuwa akikielezea kiliandikwa kwa Kiswahili?Kwa kujieleza kiswali yupo vizuri sana..Hilo halina Shaka..Ila swali kwanini atumie lugha ya Kiingereza..???
Utumie tafsida siku nyingine basi.Ndio maana JPM alikataa huu mtego, akagoma kwenda nje. Akazuga kubana matumizi kumbe kinge
Hiyo aliipiga naibu waziri wa elimu enzi hizo mulugoTukumbushie na ile ya South Africa ya kwamba "Tanzania is union of Zimbabwe and Mafia" oh!! No, sorry!! It is Zambia and Pemba
Hana lolote
Hana lolote huyo!
Nadhani sisi kasumba ya kutawaliwa na wakoloni bado inatusumbua sana. Wenzetu China, Urusi, na nchi zingine za Asia zilizopiga hatua kimaendeleo hawasumbuki kabisa na suala la kiingereza. Viongozi wao kwenye mikutano yote mikubwa wanatumia lugha zao na wakalimani na wakati kiingereza nacho wanakijua.Huyu ni wa ...Utamaduni na Michezo huko.
Aliyekwambia wanaojua Kiingereza hawalambi asali nani!?