milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Unateseka ? waziri wa afyaaaTatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Wee kilaza kweli unatulinganisha na china ? Global history unaijuwa? Shortly intelligence selection kunashida ...ingekuwa wizara ya Michezo sawa ....bongo wenyeupeo mdogo kushika HatamuHiyo ni slavery mentality tu mkuu. Tembea uone. China, Urusi, Japan, Korea Kaskazini nk. Wanamaendeleo makubwa sana wakati hawatumii Kiingereza. Na kwa taarifa yako nchi ambazo zimejitenga na kiingereza ndio zilizoendelea sana tu lakini nchi zenye kuendekeza utumwa wa akili ndio nchi zilizonyuma kimaendeleo. Mpaka tutakapojitambua ndio tutapata maendeleo ya kweli.
Weee katoe huo ushauri kwa Chawa wenzakoLugha ya Kiingereza hakufanyi wewe kuwa na maarifa zaidi.
Kwani hukumbuki Comedian Nyerere alivyokuwa S Korea na alivyorudi?Intro kama hiyo angeimeza tu ,kulikuwa hakuna haja ya makaratasi.
Ila Kinge ni noma sana aisee ,ukimuona akitema kiswahili yaani anatirika hatari lakini ikija Kinge utamuonea huruma michapio kama yote wakati anasoma on behalf of ma self ,senki you vere mache mr chea and all contestants who contested.
πHiyo aliipiga naibu waziri wa elimu enzi hizo mulugo
Watu wanaangalia capacity yakeTatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Mkuu ndo u pronounce "plesident" kweli......hata kama ni slavery mentality.....ila Kwa hapo hapanaTatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
Hapana kwa mtu aliyesoma tunategemea ajue kiingereza maana ndio lugha inayotumika kwenye masomo hapa kapuyanga sanaSecond language....ila anaeleweka
Tatizo tuna wasomi wengi wanakizarau sana kiswahili na kukipenda sana English, wakati English yenyewe haiwapendi!!Kwani lazima ahutubie Kingereza? Si angehutubia Kiswahili tu.
Hata hicho Kimatumbi hakuna initiative yoyote.....matumizi makubwa ya Anasa ....Congo kiswahili ni mhimili huko nje Kiswahili kinafundishwa na wazungu na jirani zetu kama lugha muhimu sub Sahara resources harvesting .....huku investment kubwa ni UCHAWA na huko juu professional nyuma uchawa empty ubongo mbele....Tatizo tuna wasomi wengi wanakizarau sana kiswahili na kukipenda sana English, wakati English yenyewe haiwapendi!!
nani alifumbue?Hilo ni fumbo.
Kiswahili ndio chepesi?Tatizo tuna wasomi wengi wanakizarau sana kiswahili na kukipenda sana English, wakati English yenyewe haiwapendi!!
Hadi SSH wanaedai aligeli form 4 anamkimbiza parefu sana yaani huyu msomi wenu wa Diploma na Masters ya Uingereza ππHiyo ndo Taswira ya viongozi mlionao huko juu !!!
Kuna umuhimu wa kuanza Upyaa hukutulipo ni makorongo na mambonde ...Hadi SSH wanaedai aligeli form 4 anamkimbiza parefu sana yaani huyu msomi wenu wa Diploma na Masters ya Uingereza ππ
Alikuwa ni Philip Mlugo, Naibu Waziri wa elimu wakati huo!.Najaribu kuvuta kumbukumbu nasahau jina lake ila naye alikuwa waziri
UNGEMTAJA KABISAAAAA INGEPENDEZA SANA YULE ZE ZE ZE ZEMnamuonea Jenny,
Kuna mwamba alikuwa ni 'Prezzo' kabisa lakini kwa mujibu wa Lissu,
Nanukuu na kwa tafsiri isiyo rasmi,
'Hawezi hata kutengeneza sentensi moja iliyonyooka ya Kiingereza kwa usahihi' kumbuka wasifu wake ni 'Doktori'
Hii Nchi ina maruweruwe yake jamani.
πΉπΉπΉ wamatengo wachawi sanaHili limama limevuka viwango, ila kibokoo yake Joseph Muhagama, alimnyoosha kweli kweli, hadi kugawana jimboo, famchezo nn.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]