Hotuba ya Jenista Mhagama wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Tatizo lenu ni slavery mentality imewakaa vichwani mwenu. Mnafikiri mtu akiongea kiingereza ndio msomi.
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
L L L nyingi sana R R R zinapiga Chenga duh 🙄 !
Alisemaga JK hakuna Chuo kinachotoa kozi ya Uwaziri !! 😅🙌
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Si mlishabikia na kupiga debe Dkt Ndugulile kwenda WHO as if hatuna shida na watendaji wenye weledi wa kutosha kwa kada husika?

Siasa zinagharimu sana hili taifa.
 
Unafikiri hao wazungu wanawaza hayo mnayowaza!!?

Wanajua fika huyu ni mtanzania na kiingereza sio lugha mama kwahiyo matamshi hayatokua sawa kama mzungu!

Ni nyie TU washamba sana,kwani wachina,warusi,wakenya,wanaijeria Wana lafudhi Gani ya kiingereza wanapotamka!!?
 
Kama raisi wake tu. Elimu ya kuunga unga kwingi.
 
Hii ni hotuba tamu ya mheshimiwa Jenister Joachim Mhagama waziri wa Afya wa JMT wakati wa mkutano wa WHO Africa huko Brazaville

Hapo alikua anasoma nimejiuliza sana angekua anatoa kichwani kwake ingekuaje.

Jionee....
Angekuwa anababaisha kwenye kuongea Kiswahili ningemmaindi sana. Lakini lugha ya watu? Ya nini kuishobokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…