Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,086
- 2,823
Mwenyekiti mpya wa CHADEMA katika sentensi yake ya kwanza ya hotuba yake ya kwanza baada ya uchaguzi amesema yeye anachagua maneno yake very carefully.
Akitangaza ratiba ya leo ya Baraza Kuu amesema litakutana na agenda ya kumchagua Party Secretary na manaibu wake, wa Zanzibar na Tanganyika!
Ninavyomjua Lissu, he means it from the heart. And he is telegraphing a message. And its going to be a battle royale for our country, for our lost interests, and lost identity. Ujumbe umefika.
Ahsante Mungu Mwenyezi tumepata kiongozi wa Tanganyika asiyejua kudanganya, na kujipendekeza pendekeza, na kuuma uma maneno. Na anaeelewa thamani ya utaifa na utu wa Mtanganyika.