Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

Hotuba ya kwanza Mwenyekiti Lissu aiita Tanganyika Tanganyika. Tumepata mtetezi!

Hakuna kitu kinauma kama hela za bars kupelekwa Zanzibar kujenga shule za maghorofa, pili hela za bars kupelekwa pasupasu ilihali Zanzibar hawafiki hata milioni mbili over 60 + milioni ya ya watanganyika .
Hilo suala linauma sana.

Hela ya Tanganyika inaenda kuendeleza kakisiwa kamoja na kujenga mashule ya ghorofa

Kisiwa cha kibaguzi. Mtanganyika haruhusiwi kumiliki by law shamba Zanzibar.
 
Hakuna kitu kinauma kama hela za bars kupelekwa Zanzibar kujenga shule za maghorofa, pili hela za bars kupelekwa pasupasu ilihali Zanzibar hawafiki hata milioni mbili over 60 + milioni ya ya watanganyika .
QUMAMAE KABISA SIJUI NIFANYEJE NIPATE KITENGO KWA LISSU OYA EE NA MM NPO KAMA LISSU EVEN BACKGROUND, KWANZA NTAMSHAWISHI TUMWAGE SILAHA KAMA CONGO TU ILI WATU WALIONYONYWA KWA MUDA MREFU WAONYESHE HASIRA ZAO SIPATI PICHA .HAHAHAHAHAHAHAHAHAH.
 
Kweli chadema mmepata kiongozi mwehu, nchi ya tanganyika iko kwenye katiba ipi?
Nyinyi ndio wehu na huyo bi kizi mkazi kwani Tanganyika ilipotelea wapi?? Mbona Zanzibar ipo?? Mtu unamheshimu kabisa ila anasema Tanzania bara ukimuuliza hiyo Tanzania bara ndio ipi anabakia kimya,,,,,,TUNALIOMBA Tanganyika yetu na huyu atailejesha salama,,,,,tumechoka na muungano wkialifara hivi,,, Zanzibar Ina rais wake Ina bendera yake vipi hiyo Tanzania bara unamjua rais wake???
 
Ameongea ukweli. Hata Muungano uliopo ni kati ya Tanganyika na Zanzibar, na siyo kama wale wapotoshaji wanaosema ni kati ya Tanzania Bara na Zanzibar!
 
Back
Top Bottom