Hotuba ya Lukuvi bungeni kuthibitisha kauli yake kanisani, UKAWA kumchukulia hatua za kisheria

Mkuu wanaenda kwenye mishemishe zao,wengi wao wanaweza kutibiwa hapa lakini hiyo ni njia mojawapo yakujiongezea kipato.
Hukumbuki issue ya mke wa Hans Kitine alivyoleta risiti bandia naakalipwa na serikali kwa matibabu ambayo ilibainika baadae kuwa hayakufanyika huko Ughaibuni.
 
Nilipokua nafuatilia bunge juzi mwenyekiti wa bunge alimpa nafasi waziri wa nchi sera uratibu na bunge ndg Lukuvi nafasi ya alichokiita kujibu alichosema prof Limbumpa baada ya hicho alichokiita majibu kwa Lipumba, mh Lukuvi alimsifia sana Mrema kwa mchango wake uliomfurahisha bila shaka na kuwafurahisha wakubwa wa ccm mpaka akafikia kumuahidi kwamba atahakikisha Mrema anapata mafao yak...e ,maswali ya kujiuliza

1. je ni haki ya Mrema kupata hicho Lukuvi anachookiita mafao au ni rushwa baada ya kuwafurahisha kwa mchango wake bungeni

2.kama ni haki yake inahitaji kujipendekeza kwao ndio upate haki yako?

3. hii inatufundisha nini kwamba mpaka tujipendekeze kwa ccm ndio tunaweza kupata haki yetu?

4. kwanini Watanzania tunaruhusu mambo ya kijinga haya yatokee katika nchi yetu kwanini tunaruhusu waziri atumie ofisi ya umma na rasilimali za umma kwa manufaa ya chama chao na serikali iliyoko madarakani

5.ni wangapi wataanza kujipendekeza kwa ccm na serikali yake ili wapate wanachokitaka je tutajenga demokrasia kwa njia hizi?
inakera sana
 

Attachments

  • lukuvi.jpg
    25.7 KB · Views: 511
Lukuvi hana akili hata chembe moja, full pumba day and night 24/7/365
 
Mrema anastahili kuendelea kulipwa fesha ya waziri mkuu mstaafu alifanya mambo makubwa hat a kuliko baadhi mwaziri wakuu waliopita apewe ni mzalendo na ni mpinzani wa kweli mwrnye upeo mpana pamoja uzee wake
APEWE STAHILI ZAKE
 
Takrima tuu mkuu,nyie wenye roho mbaya mnaita rushwa!
 
Lukuvi anapaswa kufukuzwa mara moja uwaziri.
 
Kwani Mrema alipoongea alikuwa akitegemea kujua kama lukuvi ataichukua hotuba yake ili kulainisha mafao yake?
Mrema alikuwa Jembe mithili na Magufuli na Mwakiembe.. I have no complain on him. Alichofanya Mrema kwa enzi zake chatosha
 
Mrema anastahili kuendelea kulipwa fesha ya waziri mkuu mstaafu alifanya mambo makubwa hat a kuliko baadhi mwaziri wakuu waliopita apewe ni mzalendo na ni mpinzani wa kweli mwrnye upeo mpana pamoja uzee wake
APEWE STAHILI ZAKE
hakuna anaepinga kwamba asipewe lkn hoja n kwamba je ukihitaj stahiki zako ambazo n haki yako n lazma uiunge mkono ccm? mwenyewe niliumia sana na hiyo kaul na cha zaid nmeshawah kusikia kwamba hata kwenye masula ya ajira wakigundua ww n mtu wa upinzan hata kwa haruf ajira haupat!!! tunakwenda wapi?
 

Kama waziri mkuu anapata mafao kwa nin naibu waziri mkuu na yeye asipate nusu ya mafao ya PM?
It was presidential appointment. Kwa mamlaka ya rais aliyopewa na bunge ku create position kama atsona inafaa.
mzee ruksa akatengeneza nafasi ya naibu waziri mkuu .mrema anastahili haki zake kama mtumishi.
Maalim seif mbona alikuwa akilipwa . Lowasa pamoja na kujiuzulu bado analipwa. mke wa sokoine analipwa mafao ya waziri mkuu sokoine.
 
 
mimi nauunga mkono........kauli lukuvi.....kuwa cuf wana uhusiano na uamsho......

Uh mini nakaa kimyaa...maana CCM Z'bar wameshawahi kumzomea Amani Karume pale Dodoma kwenye vikao vya chama kuwa ndiye UAMSHO...sasa sijui CUF wameingiaje humo. Kwa vyovyote wote wana ajenda ya udini na ni hatari kwa nchi yetu.
 
Hii sasa kiboko, rushwa hadi Bungeni! Kwa CCM, rushwa ni kama hewa ya oxygen...bila rushwa ni kaburi tu lachungulia.

Ukitaka uwe na maisha mazuri nchi hii we jipendekeze kwa CCM baaas!
 
Kama ukweli asiseme?


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
"tumechoka ubaguzi, hatuwezi kuwa sehemu ya kundi la intarahamwe linalohamasisha ubaguzi ndani ya tanzania"
 
Mnakumbuka Mremba alijikomba kwa CCM kabla ya uchaguzi mkuu uliopita, kisha wakamchangia pesa za kwenda kuchukulia form za ubunge.

Sahihisho Mkuu wangu,anaitwa Mrema na si Mremba.Hii kaka yangu ipo hapa kwetu Bongo tu,kwingineko itakuwa maajabu yale saba.

Tatizo lingine kwa sababu ya kuwepo muda mrefu madarakani UKWELI kila mara ni uchochezi,huwa nafikiri ni bora UKWeLI unaouma kuliko UONGO unaopuliza kwani mwisho wa siku ni msiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…