Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hakuna namna unaweza tenganisha siasa na maisha ya watu. Isipokua selective ya matendo ya siasa.Ujumbe uwafikie wote. Siasa misibani ni kukosa kuwajali wafiwa. Maana katika kipindi hicho kigumu familia inafurahi sana kusikia kauli zenye faraja kuwaelekea wao.
Huwezi ficha kitu kinachojulikana ila unaweza usikizungumze na kutokizungumza hakutakifuta.Kuna haja gani ya kuficha kitu ambacho kinajulikana?
Kwani wakisema wataongezewa nini? Hakuna logic yoyote kwenye kuumizwa na kutokutajwa chadema katika wasifu wa EL.Kwani mkisema aligombea kupitia chadema mtapungukiwa nini?
Binafsi sioni kilichoharibika sababu hakuna kilichosemwa katika hizo dk 5 ambacho hakikujulikana kabla.Ona sasa dk 5 tu mtu kaharibu sifa zote mlizozitaka.
Huyu mpumbavu👆 iko siku atapigwa ngumi ya ShingoSs mpoto anaimbaa nn hapoo zaidi yakupigia wafiwaa kelele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo
Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema
Wwenyewe Familia wameamua hivyo
Kama kinajulikana na Kila mtu Kuna haja Gani ya kukisema na kulazimisha kusema? Si kinajulikana.Kuna haja gani ya kuficha kitu ambacho kinajulikana? Kwani mkisema aligombea kupitia chadema mtapungukiwa nini?
Ona sasa dk 5 tu mtu kaharibu sifa zote mlizozitaka.
JK bora angekufa kabla ya Lowasa, maana msiba huu utampa sonona mpk atakufa.Na kwenye shukrani familia inawatambuwa wengi na Kwa kipekee mama Samia, ila jina la Kikwete halijatajwa popote, Huyu Mzee ajitafakari atubu mapema kabla hajafa.
Kuwa mgombea urais aliyeweka record ni kitu cha kuficha? Unatumia kitu gani kufikiria mkuu?Kama kinajulikana na Kila mtu Kuna haja Gani ya kukisema na kulazimisha kusema? Si kinajulikana.
Siku zingine jifunzeni protocol wasifu wa marehemu familia hushirikishwa Kuna vipengele waweza taka visiwepo mfano Mbowe akifariki wasifu haitatamuka kuwa ana mke mwingine nje Joyce Mukya na kazaa naye.Familia itagoma pamoja na kuwa ni kitu Kiko wazi
Hakudhalilishwa hata chembe ..Kwa hiyo iligundulika baada ya kuwa udhalilishaiji ulishatokea......???
Ambacho huelewi ni nini? Tunakosoa risala haijalishi nani kaandaa. Kusema aliwahi kutia nia CCM halafu ukaacha kusema aligombea urais na kupata 30%+ unaona ni matumizi ya akili?Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo
Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema
Wwenyewe Familia wameamua hivyo
Usikute hayo ndio mabwege yaliyoandaa risalaKuwa mgombea urais aliyeweka record ni kitu cha kuficha? Unatumia kitu gani kufikiria mkuu?
Monduli sio Longido tafadhali!
Kati ya hotuba nzuri zilizojaa busara, ujasiri, ukweli na weledi wa kisiasa basi ni hii ya leo kule Monduli ambapo Mheshimiwa Freeman Mbowe amezungumza juu ya ukweli wa maisha ya kisiasa ya hayati Lowassa.
Hotuba hii iliyojaa ujasiri na umahiri mkubwa imegusa watu wengi na kujikuta wakipiga makofi mengi kwa Mh Mbowe. Mbowe amemtaja Lowassa kama mgombea urais wa CHADEMA aliyeipaisha demokrasia ya nchi na kuwaweka wapinzani katika ramani mpya ya siasa, kuwezesha wabunge zaidi ya 120 wa upinzani na madiwani zaidi ya 2,000 kutoka upinzani ikiwa ni karibu nusu ya madiwani wote nchini.
Mbele ya rais Samia na viongozi wakubwa kote nchini, Mbowe amehoji kwanini ukweli huu unafichwa? Huu ni unafiki wa kisiasa na Mbowe ameonekana kusikitishwa na kukasirishwa na unafiq huu mkubwa. Mbowe amemtaja Lowassa kama mhanga wa mifumo hovyo ya kidemokrasia nchini.
Hongera sana Freeman Mbowe kwa ujasiri huu!
kilichoongezeka ni kuwavua nguo wajinga wachache walioacha kutaja historia muhimu ya marehemu. What a shame? Yaani alikuwa waziri mkuu wa nchi then mtu analeta mambo ya uCCM na uCDM? Ni ujinga spana kama hizi zinasaidia machawa kukaa sawa.Huwezi ficha kitu kinachojulikana ila unaweza usikizungumze na kutokizungumza hakutakifuta.
Kwani wakisema wataongezewa nini? Hakuna logic yoyote kwenye kuumizwa na kutokutajwa chadema katika historia ya EL
Binafsi sioni kilichoharibika sababu hakuna kilichosemwa katika hizo dk 5 ambacho hakikujulikana kabla.
Hakuna namna unaweza tenganisha siasa na maisha ya watu. Isipokua selective ya matendo ya siasa.
Hawa maboya huwa nawashangaa sana, yaani anataka kunambia mafanikio ya kuwa sijui mwenyekiti wa maasai sijui ya wapi ni kubwa kuliko kuongeza viti vya ubunge bungeni?Usikute hayo ndio mabwege yaliyoandaa risala
Sote tunajua kwamba alikuwa waziri mkuu mbona imesemwa? Sema ukweli japo unaumaKama kinajulikana na Kila mtu Kuna haja Gani ya kukisema na kulazimisha kusema? Si kinajulikana.
Siku zingine jifunzeni protocol wasifu wa marehemu familia hushirikishwa Kuna vipengele waweza taka visiwepo mfano Mbowe akifariki wasifu hautamuka kuwa ana mke mwingine nje Joyce Mukya na kazaa naye.Familia itagoma pamoja na kuwa ni kitu Kiko wazi