Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Ccm wanaleta siasa misibani, kwani wakitaja neno chadema watakufa? Wanaogopa neno chadema kuliko hata shetani
 
 
Na hawapendi kusikia ukweli. Kweli yao waliyoichagua kuwaongoza si kweli tena! Hii inasikitisha
 


Yaani hata kwenye ratiba mbowe amepewa kama mwana family kwasababu inaelekea hawakumweka lakini family ili hakikisha kaongea naye
 
Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
Ndo saccosi yake kila saa mbowe anaililia democracy itakayompa ruzuku kwa wingi .democracy ni kama kichaka tu ili aendeeleze ukwasi wake
 
Namkumbuka sheikh wangu Mohamed Said. Kwamba history ya Uhuru wa Tanganyika anatajwa mwalim tu wakati akina Dosa wameachwa
 
Historia ya Marehemu huidhimishwa na familia kipi wanataka kiwepo kwenye Risala na kipi kisiwepo

Mbowe kasimama na mihasira na CCM na Serikali na Familia kuwa Mbona kwenye Historia hawajaweka kuwa alikuwa Chadema

Wwenyewe Familia wameamua hivyo
We jamaa ni msenge sana na mbaya zaidi hujui kama wewe ni mpumbavu
 
More

Mbowe, hana hoja!! CCM lowasa amekaa miaka 43 , CDM miaka 4.Na mpaka, anakufa yupo CCM. Mbowe anatakiwa, atueleze hayo ya cdm, ambayo lowasa alikaa miaka minne siyo watu CCM waongee, ya cdm. Jamaa anapenda kulalamika!!
 
Ndo saccosi yake kila saa mbowe anaililia democracy itakayompa ruzuku kwa wingi .democracy ni kama kichaka tu ili aendeeleze ukwasi wake

Mkuu wangu yaani wanavyoihubiri demokrasia utadhani kweli wanaipenda. Kumbe yeye ndiyo mpingaji namba moja. Wee chama gani kina mwenyekiti mmoja tu kwa zaidi ya miaka 20.
 
Unaandika upumbavu hadi aibu naona mimi
 
Yaani hapo angepewa Lema au Sugu nafasu ya kuzungumza ingekuwa balaa. Lazima wangeropoka na kutaja katiba mpya.
 
More



Mbowe, hana hoja!! CCM lowasa amekaa miaka 43 , CDM miaka 4.Na mpaka, anakufa yupo CCM. Mbowe anatakiwa, atueleze hayo ya cdm, ambayo lowasa alikaa miaka minne siyo watu CCM waongee, ya cdm. Jamaa anapenda kulalamika!!
Hata angalikaa mwaka mmoja swala la kuwa mgombea urais kupitia chadema linatosha kuandikwa. Japo hupendi ukweli ndio huu. Sisi Waislam tumetakiwa ukweli japo utakudhuru mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…