Mama wa watu hana tatizo kabisa. Tatizo ni walio chini yakeKawachana kistaha vzuri tu. Maza naona anamcheki kwa jicho la chini chini.
Hapo napingana na wewe kwa nguvu zote. Watanzania wasingekuwa ni wajinga kusingekuwa na mambo ya ajabu kama haya. Watanzania wengi ni wajinga tena sana na ndio maana wanadanganywa kila jambo. Wanaweza kuambiwa hata kuwa tatizo la umeme limesababishwa na mwananchi mmoja kujisaidia haja kubwa bwawa la mtera NA YATAAMINI TUKinachotokea ni kwamba ccm wanaona watanzania wengine wote ni wajinga , na kimsingi anayedhani watanzania ni wajinga tayari ni kichaa , hata kama kavaa suti
Bora misibani kuliko mimbariniMaana yake ni kuwa, siasa misibani hazikubaliki asilani.
Unaijua nguvu ya wasifu AU unaleta akili za kitoto.Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
Unaficha wasifu halisi wa marehemu?Maana yake ni kuwa, siasa misibani hazikubaliki asilani.
Nchi gani Kwa miaka 50 inaongozwa na chama kimoja...😜😜😜Wee chama gani kina mwenyekiti mmoja tu kwa zaidi ya miaka 20.
Acha kujichetua wewe...Siasa ni biashara zenu sio mnapeleka kweny misiba ni ujinga kiwango cha lami.
Pambana na shida zako ,tafuta pesa siasa ina wenyewe akili za kimaskini ..Acha kujichetua wewe...
Kwani huwa nakula kwako...???Pambana na shida zako ,tafuta pesa siasa ina wenyewe akili za kimaskini ..
Tafuta pesa siasa haitokutoa kweny umaskini ,mtu mkubwa unadanganywa na wanasiasa ....Tafuta maisha yako ile ni biashara ya wachache .Kwani huwa nakula kwako...???
Hizo propaganda za kuwaambia watu watafute Hela wakati hamuwalishi achaneni nazo.
Maisha yangu unayaendesha wewe....Tafuta pesa siasa haitokutoa kweny umaskini ,mtu mkubwa unadanganywa na wanasiasa ....Tafuta maisha yako ile ni biashara ya wachache .
Nakuzindua maana unapoteza muda kwa kufuatilia mambo ya hovyo..Maisha yangu unayaendesha wewe....
Wewe kama huna habari na Siasa kwenye hili Jukwaa la Siasa umefuata nini???
Kama ya hovyo wewe unayafuatlia ya nini???Nakuzindua maana unapoteza muda kwa kufuatilia mambo ya hovyo..
Kama hazikubaliki mbona kuna wanasiasa hapo msibani?Maana yake ni kuwa, siasa misibani hazikubaliki asilani.
Ndio ujuwe cdm upande wa pili hakiko kwa ajilo ya wananxhi kipo kwa ajili ya familia ykMh. Mbowe anaweka sawa kumbu kumbu
View attachment 2906916
Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
Hawa UWT hawana akili hata kidogoSijui kwa nini JF siku hizi ina punguani wengi kiasi cha wao hata kushindwa kujua kuwa hakuna faraja ambayo hupatikana katika uwongo na unafiki. Faraja ipo katika ukweli tu.