Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Hotuba ya Mbowe: Huwezi ukaiandika historia ya Lowassa ukaacha kuitaja CHADEMA. Ni kujidanganya kuua historia ambayo huwezi kuiua

Kinachotokea ni kwamba ccm wanaona watanzania wengine wote ni wajinga , na kimsingi anayedhani watanzania ni wajinga tayari ni kichaa , hata kama kavaa suti
Hapo napingana na wewe kwa nguvu zote. Watanzania wasingekuwa ni wajinga kusingekuwa na mambo ya ajabu kama haya. Watanzania wengi ni wajinga tena sana na ndio maana wanadanganywa kila jambo. Wanaweza kuambiwa hata kuwa tatizo la umeme limesababishwa na mwananchi mmoja kujisaidia haja kubwa bwawa la mtera NA YATAAMINI TU
 
Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.
Unaijua nguvu ya wasifu AU unaleta akili za kitoto.

Punguza upumbavu japo ni mpumbavu mzamivu.
 
Kwani huwa nakula kwako...???

Hizo propaganda za kuwaambia watu watafute Hela wakati hamuwalishi achaneni nazo.
Tafuta pesa siasa haitokutoa kweny umaskini ,mtu mkubwa unadanganywa na wanasiasa ....Tafuta maisha yako ile ni biashara ya wachache .
 
Tafuta pesa siasa haitokutoa kweny umaskini ,mtu mkubwa unadanganywa na wanasiasa ....Tafuta maisha yako ile ni biashara ya wachache .
Maisha yangu unayaendesha wewe....

Wewe kama huna habari na Siasa kwenye hili Jukwaa la Siasa umefuata nini???
 
Azungumze mambo ya kuwafariji wafiwa. Hatutaki mambo ya kujitwalia faida za kibinafsi kwenye misiba ya wengine. Kama ana kiu ya siasa, asubiri akufe yeye ndiyo alete siasa kwenye msiba wake.

Sijui kwa nini JF siku hizi ina punguani wengi kiasi cha wao hata kushindwa kujua kuwa hakuna faraja ambayo hupatikana katika uwongo na unafiki. Faraja ipo katika ukweli tu.
 
Sijui kwa nini JF siku hizi ina punguani wengi kiasi cha wao hata kushindwa kujua kuwa hakuna faraja ambayo hupatikana katika uwongo na unafiki. Faraja ipo katika ukweli tu.
Hawa UWT hawana akili hata kidogo
 
Back
Top Bottom