Yaani unamlinganisha jpm na Nyerere?Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Ninacho furahia sana ni kuona mataga sasa akili imewaridia tena na kuanza kukiri kuwa chadema bado ipo hai maana waludanganywa na jiwe kuwa kaiua cdm.Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
SIASA ZA KITAA: Kigogo wa ‘Twita’ na Mange ni Sunche na Kapeto
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii, kuwa uyaone.
Ujumbe murua sana kwa matagaMataga mmebaki wajane baada ya kumzika bwana wenu.
Hiyo ndiyo kazi ya upinzani wa kweli.Mwache mama ashindwe ku perform ndo atajua maana ya upinzani na chadema Kwa ujumla ilimradi washasema mapema alikuwa mchapakazi.
Wachana na hao wabaguzi wa lumumbaHashim Rungwe hastahili kupendwa? Maana ni kama umeongea kwa kejeli kwa mzee.
Utaishia kuokoteza viji tweets lkn naona report ya CAG imekumaliza na kuthibitisha kuwa awamu ya 5 iliongoza kwa ufisadiKiukweli fijra za hawa watu ni za kipekee sana[emoji846]
View attachment 1749774
View attachment 1749775
Dikiteta ni jiweWanaosema mbowe ana tofauti na mwendazake ni wajinga vipofu wasio na uwezo wa kupambanua mambo. Mbowe ni dikteta mkubwa
Lazima ukubali tuNakubaliana na wewe
Majizi wakubwaTofauti ya Mbowe na Magu ni ukubwa tu wa madaraka waliyoshika.
Nakuona sukuma gang kwenye ubora wakoKwahiyo unataka wakushabikie we we? Hitler na Osama wanamashabiki hadi leo sembuse Magufuli?
Ninawafahamu wote nitawaelezea kwa kifupi;Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio Zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Leo nasikia ni zamu yako ya kulinda kaburi!Sasa ulitaka afakimie Faru John aanguke kwenye ngazi kama Mbowe
Hasa ukizingatia sera zake kwa vitendo! , sio maswala ya ahadi tenaWako wanaompenda Hashim Rungwe kufa kuoza
Mama anawajua hila zao.
Waliposusa Bunge la katiba .
Ana wa enjoy tu
Bora Hashimu Rungwe kuliko huyu anayetuadithia kapata chanjo.
Sukuma Gang tulieni dawa iwaingie freshYaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
SIASA ZA KITAA: Kigogo wa ‘Twita’ na Mange ni Sunche na Kapeto
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii, kuwa uyaone.
Chanjo ni maamuzi yake binafsi lakini yeye anafosi wote tufanye kama yeyeChanjo ina tatizo gani? Yeye kupewa chanjo kunakuathiri vipi wewe?
Mataga mmebaki wajane baada ya kumzika bwana wenu.