Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...
www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii, kuwa uyaone.