Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Yaani unamlinganisha jpm na Nyerere?
Kwa lipi haswaaa?
 
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia hii, kuwa uyaone.
Ninacho furahia sana ni kuona mataga sasa akili imewaridia tena na kuanza kukiri kuwa chadema bado ipo hai maana waludanganywa na jiwe kuwa kaiua cdm.
 
Ninacho furahia sana ni kuona mataga sasa akili imewaridia tena na kuanza kukiri kuwa chadema bado ipo hai maana waludanganywa na jiwe kuwa kaiua cdm.
Aisee
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio Zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Ninawafahamu wote nitawaelezea kwa kifupi;

Magufuli:
Background ya umaskini na ushamba
Ana akili za kawaida japo ana PhD
PhD yake UDSM ni FAKE
Anamtaja Mungu Ila si muumini
Mwizi na Fisadi
Dikteta kiwango cha Hitler, katili
Malaya hachagui, hata changudoa
Mtu wa visasi sana, lazima akutende

Mbowe:
Background familia bora mstaarabu
Form Six Ila ana akili sana na upeo
Degree yake ya UK ni distance learning
Mkristu wa kawaida, anamuamini Mungu
Mwepesi kufanya deals za fedha
Dikteta kiwango cha Mugabe, anashurika
Malaya Ila anakula class
Mtu wa kusau na usuluhishi
 
Wako wanaompenda Hashim Rungwe kufa kuoza
Hasa ukizingatia sera zake kwa vitendo! , sio maswala ya ahadi tena
1618205486867.png
 
Ni heri walisusa maana ingekuwa imepatikana katiba kituko ya Chenge na CCM wasingekubali kuifanyia marekibisho tena.
Kama kuna watu wameifanyia hila nchi hii kwa muda mrefu ni chama tawala, upinzani mnawaonea tu.
Mama anawajua hila zao.
Waliposusa Bunge la katiba .
Ana wa enjoy tu
 
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia hii, kuwa uyaone.
Sukuma Gang tulieni dawa iwaingie fresh
 
Back
Top Bottom