Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Mbowe alipe Kodi aache ujanja ujanja mbona watumishi wanakamuliwa Sana Kodi na wako kimywa na hawana mtetezi?aache kutumia media vibaya atomizer wajibu wake.kakaa bilicanas kipindi chore bila kulipa Kodi,mahoteli yake hayalipi Kodi jamani kila mtu atimize wajibu wake.
 
Wewe nani ndani ya nchi hii?
Nyie mambo yenu yashaisha tangu mwezi wa tatu.

Kaeni kimya watu waongoze nchi ili nanyi mjifunze.

Zamu yenu ishapita hiyo na hairudi kamwe maana makosa hayawezi kurudiwa kamwe.

kwan zamu yenu ilikua ni ipi?
 
Kweli mkuu hii dunia hii hasa Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, eti Jiwe ni shujaa wa Afrika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nini cha ajabu kwani?
 
Kauli gani ametoa ambayo inaonyesha amefosi? Unafahamu yeye hana dola ya kuweza kufosi mtu yeyote??
Kamsikilize vizuri nahisi zile bendera alizoziweka jana akawa anajifananisha kama rais wa JMT
 
Wenye makontena wakilalamika kwa kucheleweshewa mizigo yao , hapo roho kwatu kwa Chadema kwa sababu Magufuli amenyooka kwa kupata hasara.
 
Kwamba hizo hela ni za bandia au sio

Kwamba hizo hela ni za bandia sio! Sijui mataga ndio kina nani ila nahisi na wewe umo humo kwenye hilo group. Huyo jamaa hawezi msahau mwamba.
Au ndo ww uliepewa hizo pesa na huyo Mungu wako? Punguza shobo MATAGA mnyonge usiejielewa ww...
 
Unaposema CHADEMA eanakubaliana na Samia, unamaanisha nini ??
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita baadhi ya viongozi wa chama Cha chadema wameonesha kuridhika na mipango ya awamu hii kuliko Ile ya awamu ya tano.
Au anasema uongo ndugu yangu?
 
Umewajibu hawa akina Mmawia kiboboso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…