Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Mbowe alipe Kodi aache ujanja ujanja mbona watumishi wanakamuliwa Sana Kodi na wako kimywa na hawana mtetezi?aache kutumia media vibaya atomizer wajibu wake.kakaa bilicanas kipindi chore bila kulipa Kodi,mahoteli yake hayalipi Kodi jamani kila mtu atimize wajibu wake.
 
Wewe nani ndani ya nchi hii?
Nyie mambo yenu yashaisha tangu mwezi wa tatu.

Kaeni kimya watu waongoze nchi ili nanyi mjifunze.

Zamu yenu ishapita hiyo na hairudi kamwe maana makosa hayawezi kurudiwa kamwe.

kwan zamu yenu ilikua ni ipi?
 
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia hii, kuwa uyaone.
Kweli mkuu hii dunia hii hasa Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, eti Jiwe ni shujaa wa Afrika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nini cha ajabu kwani?
 
Kauli gani ametoa ambayo inaonyesha amefosi? Unafahamu yeye hana dola ya kuweza kufosi mtu yeyote??
Kamsikilize vizuri nahisi zile bendera alizoziweka jana akawa anajifananisha kama rais wa JMT
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Wenye makontena wakilalamika kwa kucheleweshewa mizigo yao , hapo roho kwatu kwa Chadema kwa sababu Magufuli amenyooka kwa kupata hasara.
Screenshot_20210412-113821.jpg
 
Kwamba hizo hela ni za bandia au sio

Kwamba hizo hela ni za bandia sio! Sijui mataga ndio kina nani ila nahisi na wewe umo humo kwenye hilo group. Huyo jamaa hawezi msahau mwamba.
Au ndo ww uliepewa hizo pesa na huyo Mungu wako? Punguza shobo MATAGA mnyonge usiejielewa ww...
 
Unaposema CHADEMA eanakubaliana na Samia, unamaanisha nini ??
Mwanzoni mwa utawala wa awamu ya sita baadhi ya viongozi wa chama Cha chadema wameonesha kuridhika na mipango ya awamu hii kuliko Ile ya awamu ya tano.
Au anasema uongo ndugu yangu?
 
Kampeni za cdm 2025÷

1. Huyu mama katubaribia sana nchi. JPM alituwekea misingi thabiti ya maendeleo ya nchi yetu huyu mama kaiharibu yote

2.Huyu mama ameiharibu nchi yetu kwa sababu yeye haimuhusu. Kwani nchi yake ni ZNZ na hata mapato yetu ameyapeleka huko kwao na kutuachia umasikini usiyo kifani humu znz ikineemeka kwa mapato yetu.

3. Iweje znz iwe na Rais wao na bado hao hao ZNZ watutawale na huku bara? Ni kweli kwamba ss bara hatuna mtu anaefaa kuwa Raisi wetu? Mbona hatujawahi kuona Mbara akiitawala ZNZ?

4.......

5.......

6 .....
Umewajibu hawa akina Mmawia kiboboso
 
Back
Top Bottom