Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba hizo hela ni za bandia au sio
Kwamba hizo hela ni za bandia sio! Sijui mataga ndio kina nani ila nahisi na wewe umo humo kwenye hilo group. Huyo jamaa hawezi msahau mwamba.
Kauli gani ametoa ambayo inaonyesha amefosi? Unafahamu yeye hana dola ya kuweza kufosi mtu yeyote??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamsikilize vizuri nahisi zile bendera alizoziweka jana akawa anajifananisha kama rais wa JMT
Ile ilikuwa ni FURSA au opportunity kwa Mbowe kuilaza CCM meza ya machinjio ya 2025.Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Ndio mimi mkuu, na kwa taarifa yako hiyo kodi yako nimetrooombea yote... Ukitaka nenda kashitaki.Au ndo ww uliepewa hizo pesa na huyo Mungu wako? Punguza shobo MATAGA mnyonge usiejielewa ww...
Mbowe anapendwa kutoka moyoni , Magufuli alipendwa baada ya kuwalipa wapambe pesa , ajira na vyeo , wewe uliona wapi watu wanampenda anayewatukana ?Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Kama mnampenda toka moyoni msaidieni awe na mikakati makini ya kuitoa CCM madarakani.Mbowe anapendwa kutoka moyoni , Magufuli alipendwa baada ya kuwalipa wapambe pesa , ajira na vyeo , wewe uliona wapi watu wanampenda anayewatukana ?
umeongeaa sahihi kabisa , wafuasi wa magufuri na wafuasi wa mbowe yote ni makaraiMtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Mbona ccm imekwisha kitambo sana , labda tujipange tu kuling'oa jeshi la polisi tuKama mnampenda toka moyoni msaidieni awe na mikakati makini ya kuitoa CCM madarakani.
Tuache unafiki huku nchi yachezeshwa madogoli.
Hoja mfuu kabisa hii,au unafikiria kwa kutumia matade?Kampeni za cdm 2025÷
1. Huyu mama katubaribia sana nchi. JPM alituwekea misingi thabiti ya maendeleo ya nchi yetu huyu mama kaiharibu yote
2.Huyu mama ameiharibu nchi yetu kwa sababu yeye haimuhusu. Kwani nchi yake ni ZNZ na hata mapato yetu ameyapeleka huko kwao na kutuachia umasikini usiyo kifani humu znz ikineemeka kwa mapato yetu.
3. Iweje znz iwe na Rais wao na bado hao hao ZNZ watutawale na huku bara? Ni kweli kwamba ss bara hatuna mtu anaefaa kuwa Raisi wetu? Mbona hatujawahi kuona Mbara akiitawala ZNZ?
4.......
5.......
6 .....
Lini umerudishiwa akili ww au baada ya kumzika mume wenu akili zimeanza kuwarudia?Nina uhakika ninatumia akili zangu binafsi kufikiri.
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Kajifunze kuandika vizur kwanza then ndio uje hapa ku commentMbowe alipe Kodi aache ujanja ujanja mbona watumishi wanakamuliwa Sana Kodi na wako kimywa na hawana mtetezi?aache kutumia media vibaya atomizer wajibu wake.kakaa bilicanas kipindi chore bila kulipa Kodi,mahoteli yake hayalipi Kodi jamani kila mtu atimize wajibu wake.
[emoji23][emoji23][emoji23] Form six failure (DJ) unamlinganisha na Phd holder in Chemistry?Ninawafahamu wote nitawaelezea kwa kifupi;
Magufuli:
Background ya umaskini na ushamba
Ana akili za kawaida japo ana PhD
PhD yake UDSM ni FAKE
Anamtaja Mungu Ila si muumini
Mwizi na Fisadi
Dikteta kiwango cha Hitler, katili
Malaya hachagui, hata changudoa
Mtu wa visasi sana, lazima akutende
Mbowe:
Background familia bora mstaarabu
Form Six Ila ana akili sana na upeo
Degree yake ya UK ni distance learning
Mkristu wa kawaida, anamuamini Mungu
Mwepesi kufanya deals za fedha
Dikteta kiwango cha Mugabe, anashurika
Malaya Ila anakula class
Mtu wa kusau na usuluhishi
Unateseka na nini sukule Mkaruka ?Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
SIASA ZA KITAA: Kigogo wa ‘Twita’ na Mange ni Sunche na Kapeto
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii, kuwa uyaone.
Sasa wew ndugu Taga unahis unaweza kukiona cha ajabu kweli?Nini cha ajabu kwani?
Siasa za nchi hii ni kichekesho mkuu.. wanasiasa wanatugeuza kama chapati.. wanajua sisi wengi ni malofa (kwa sauti ya mkapa)Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
SIASA ZA KITAA: Kigogo wa ‘Twita’ na Mange ni Sunche na Kapeto
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii, kuwa uyaone.
Huku yeye na mtoto wa dada wanachezea hazina wanavyotaka! Ila Huyu jamaa alijua sana kuwachota wanyonge.Alivyokua akiwahadaa, wanyonge wake.. View attachment 1749778