Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii
Ulitaka kuandika anyway au? tehe uko huru kweli mwishimiwa!!
 
Kwamba hizo hela ni za bandia au sio

Kwamba hizo hela ni za bandia sio! Sijui mataga ndio kina nani ila nahisi na wewe umo humo kwenye hilo group. Huyo jamaa hawezi msahau mwamba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Ile ilikuwa ni FURSA au opportunity kwa Mbowe kuilaza CCM meza ya machinjio ya 2025.

Hivyo ni kwasababu alizungumza na watanzania moja kwa moja baada ya kutokuwepo nchini kwa muda mrefu.

Kuna kitu ambacho angekisema jana kingebadili kila kitu.

Mbowe anahitaji wana mikakati makini.
 
Au ndo ww uliepewa hizo pesa na huyo Mungu wako? Punguza shobo MATAGA mnyonge usiejielewa ww...
Ndio mimi mkuu, na kwa taarifa yako hiyo kodi yako nimetrooombea yote... Ukitaka nenda kashitaki.
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Mbowe anapendwa kutoka moyoni , Magufuli alipendwa baada ya kuwalipa wapambe pesa , ajira na vyeo , wewe uliona wapi watu wanampenda anayewatukana ?
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Magufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
umeongeaa sahihi kabisa , wafuasi wa magufuri na wafuasi wa mbowe yote ni makarai
 
Kama mnampenda toka moyoni msaidieni awe na mikakati makini ya kuitoa CCM madarakani.

Tuache unafiki huku nchi yachezeshwa madogoli.
Mbona ccm imekwisha kitambo sana , labda tujipange tu kuling'oa jeshi la polisi tu
 
Kampeni za cdm 2025÷

1. Huyu mama katubaribia sana nchi. JPM alituwekea misingi thabiti ya maendeleo ya nchi yetu huyu mama kaiharibu yote

2.Huyu mama ameiharibu nchi yetu kwa sababu yeye haimuhusu. Kwani nchi yake ni ZNZ na hata mapato yetu ameyapeleka huko kwao na kutuachia umasikini usiyo kifani humu znz ikineemeka kwa mapato yetu.

3. Iweje znz iwe na Rais wao na bado hao hao ZNZ watutawale na huku bara? Ni kweli kwamba ss bara hatuna mtu anaefaa kuwa Raisi wetu? Mbona hatujawahi kuona Mbara akiitawala ZNZ?

4.......

5.......

6 .....
Hoja mfuu kabisa hii,au unafikiria kwa kutumia matade?
 
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa

Acha kumchanganya Nyerere na majizi ya kura.
 
Mbowe alipe Kodi aache ujanja ujanja mbona watumishi wanakamuliwa Sana Kodi na wako kimywa na hawana mtetezi?aache kutumia media vibaya atomizer wajibu wake.kakaa bilicanas kipindi chore bila kulipa Kodi,mahoteli yake hayalipi Kodi jamani kila mtu atimize wajibu wake.
Kajifunze kuandika vizur kwanza then ndio uje hapa ku comment
 
Ninawafahamu wote nitawaelezea kwa kifupi;

Magufuli:
Background ya umaskini na ushamba
Ana akili za kawaida japo ana PhD
PhD yake UDSM ni FAKE
Anamtaja Mungu Ila si muumini
Mwizi na Fisadi
Dikteta kiwango cha Hitler, katili
Malaya hachagui, hata changudoa
Mtu wa visasi sana, lazima akutende

Mbowe:
Background familia bora mstaarabu
Form Six Ila ana akili sana na upeo
Degree yake ya UK ni distance learning
Mkristu wa kawaida, anamuamini Mungu
Mwepesi kufanya deals za fedha
Dikteta kiwango cha Mugabe, anashurika
Malaya Ila anakula class
Mtu wa kusau na usuluhishi
[emoji23][emoji23][emoji23] Form six failure (DJ) unamlinganisha na Phd holder in Chemistry?
 
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia hii, kuwa uyaone.
Unateseka na nini sukule Mkaruka ?
Je, ni CHADEMA?
Je, ni Kigogo?
Je, ni Mbowe?
Je, ni kuondoka kwa mtesi wa Watanzania?
Pole kwa kuteseka.
 
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia hii, kuwa uyaone.
Siasa za nchi hii ni kichekesho mkuu.. wanasiasa wanatugeuza kama chapati.. wanajua sisi wengi ni malofa (kwa sauti ya mkapa)
 
Back
Top Bottom