Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona akili za bavicha?Mna utoto mwingi sana
Kampeni za cdm 2025÷Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Chanjo ni maamuzi yake binafsi lakini yeye anafosi wote tufanye kama yeye
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kampeni za cdm 2025÷
1. Huyu mama katubaribia sana nchi. JPM alituwekea misingi thabiti ya maendeleo ya nchi yetu huyu mama kaiharibu yote
2.Huyu mama ameiharibu nchi yetu kwa sababu yeye haimuhusu. Kwani nchi yake ni ZNZ na hata mapato yetu ameyapeleka huko kwao na kutuachia umasikini usiyo kifani humu znz ikineemeka kwa mapato yetu.
3. Iweje znz iwe na Rais wao na bado hao hao ZNZ watutawale na huku bara? Ni kweli kwamba ss bara hatuna mtu anaefaa kuwa Raisi wetu? Mbona hatujawahi kuona Mbara akiitawala ZNZ?
4.......
5.......
6 .....
[emoji16][emoji16][emoji3577]Ukiona mtu yupo juu ya gari anahutubia na anakula mahindi jua huyo ni tapeli
Ndio maana tunasema tuwe na fikra guru, hata kigogo anafact 99/100 Magufuli alikuwa na fact 5/100 mengine ni vijembe na husuda+CHUKi.Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.
No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]
Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.
Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.
![]()
SIASA ZA KITAA: Kigogo wa ‘Twita’ na Mange ni Sunche na Kapeto
Inakera sana. Kuna mambo yanajirudia kila wakati mpaka yanachosha. Unapokaribia uchaguzi ndani ya Chadema kuna maneno kuhusu Mbowe lazima uyasikie – Mbowe anajilipa ruzuku yote. Kateka mali zote...www.mwananchi.co.tz
Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia hii, kuwa uyaone.
Roman empire [emoji845]Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Unaposema CHADEMA eanakubaliana na Samia, unamaanisha nini ??Ndio maana tunasema tuwe na fikra guru, hata kigogo anafact 99/100 Magufuli alikuwa na fact 5/100 mengine ni vijembe na husuda+CHUKi.
Mbona CDM ni kama Wana imani na SSH wakati kigogo amemkataa mama, kama CDM wanautachi Ndio maana wanafuata baadhi ya kigogo na mengine wanayaacha.
That's life my boy
BAVICHA wengine kama kina Yericko wanakula bange, wala usishangae.Umeona akili za bavicha?
Ukiwakosoa tu wanakupachika utaga[emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unajiona una akili timamu!Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Huyo ni Icon ya Chagga Manifesto bwasheeeee!!!Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.
Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.
Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.
Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.
Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Kama hutaki Mbowe asifiwe unatakiwa useme yapi aliyozungumza jana ni uongo, uje na ushahidi, sema Mbowe kakosea wapi na kwanini? vinginevyo unataka kulazimisha watu wafikirie unavyotaka wewe wakati mwenyewe haupo sahihi, umeandika hii kwa ubinafsi wako na chuki zisizo na sababu kwa Mbowe.
Unajisifu na fikra huru kivipi wakati kimsingi unaleta udikteta wa kutaka kutawala fikra za wenzio? wacha utoto.
Utaishia kuokoteza viji tweets lkn naona report ya CAG imekumaliza na kuthibitisha kuwa awamu ya 5 iliongoza kwa ufisadi
Kwa ujinga wako na tamaa ya ubwabwa nadhani ungempigia tu lungwe bila kujuaKwahiyo unataka wakushabikie we we? Hitler na Osama wanamashabiki hadi leo sembuse Magufuli?
Yaani wao kila kitu wanasapoti tu kama nyumbu[emoji1787]BAVICHA wengine kama kina Yericko wanakula bange, wala usishangae.