Hotuba ya Mbowe imedhihirisha wazi kuwa hakuna tofauti ya wafuasi wa Magufuli na Mbowe

Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Kampeni za cdm 2025÷

1. Huyu mama katubaribia sana nchi. JPM alituwekea misingi thabiti ya maendeleo ya nchi yetu huyu mama kaiharibu yote

2.Huyu mama ameiharibu nchi yetu kwa sababu yeye haimuhusu. Kwani nchi yake ni ZNZ na hata mapato yetu ameyapeleka huko kwao na kutuachia umasikini usiyo kifani humu znz ikineemeka kwa mapato yetu.

3. Iweje znz iwe na Rais wao na bado hao hao ZNZ watutawale na huku bara? Ni kweli kwamba ss bara hatuna mtu anaefaa kuwa Raisi wetu? Mbona hatujawahi kuona Mbara akiitawala ZNZ?

4.......

5.......

6 .....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Yaani sasa hivi CHADEMA kama chama naona akili zote wamemkabidhi Kigogo, yaani wamejisahau kabisa. Utafikiri Kigogo ndio mwenyekiti wa chama.

No wonder Lissu alisema tena kwenye international podium kuwa yule bodyguard mweusi wa Magu kafariki kwasababu aliambiwa na kigogo [emoji846]

Huyu Kigogo alimpobda kikakimilifu Mbowe wakati anagombea uenyekiti awamu ya 4 mpaka wafuasi wa CHADEMA wakaanza kumshambulia mpaka kwenye magazeti.

Hao kina Yericko Nyerere majasusi wa chama walisema account ya kigogo inaendeshwa na Zitto na watu wengine, jumla 4.

Leo, Kigogo ndio trendsetter wa agenda za CHADEMA[emoji23][emoji23][emoji23]

Dunia hii, kuwa uyaone.
Ndio maana tunasema tuwe na fikra guru, hata kigogo anafact 99/100 Magufuli alikuwa na fact 5/100 mengine ni vijembe na husuda+CHUKi.
Mbona CDM ni kama Wana imani na SSH wakati kigogo amemkataa mama, kama CDM wanautachi Ndio maana wanafuata baadhi ya kigogo na mengine wanayaacha.
That's life my boy
 
Hoja imetupwa na MATAGA kwenda upande wa CCM Asilia lakini naona hakuna wakuicheza vyema imezuiwa na ukuta wa mabeki.

Dakika ni ya 30 kipindi cha kwanza.
 
Watu hawajui, Samia kuna siku chadema na wapinzani watamliza kwa kutumia JPM. Na kama ccm haitakuwa makini sasa mwaka 2025 upinzani utachukua nchi kupitia kwa mgongo wa JPM. Hakuna kama Nyerere na JPM nchi hii hadi sasa
Roman empire [emoji845]
 
Ndio maana tunasema tuwe na fikra guru, hata kigogo anafact 99/100 Magufuli alikuwa na fact 5/100 mengine ni vijembe na husuda+CHUKi.
Mbona CDM ni kama Wana imani na SSH wakati kigogo amemkataa mama, kama CDM wanautachi Ndio maana wanafuata baadhi ya kigogo na mengine wanayaacha.
That's life my boy
Unaposema CHADEMA eanakubaliana na Samia, unamaanisha nini ??
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.
Kwahiyo unajiona una akili timamu!
 
Huyo ni Icon ya Chagga Manifesto bwasheeeee!!!
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili.

Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking.

Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni Mungu kabisa. Mbowe hajawahi kukosea kwa mujibu wafuasi wake kama ilivyo Magufuli.

Nadhani siku akipata free propaganda media kama alizokuwa nazo Msgufuli, labda hata Magufuli angerudi darasani.

Anyone watu wenye fikra huru ni bidhaa adimu sana dunia hii.

weee mbowe haguswi wala hasemwi huyo ni mwenyekiti wa milele wa chadema! kama huyapendi maisha yako we endelea kumzungumzia utaenda kukutana na zitto yaliomkuta
 
Kama hutaki Mbowe asifiwe unatakiwa useme yapi aliyozungumza jana ni uongo, uje na ushahidi, sema Mbowe kakosea wapi na kwanini? vinginevyo unataka kulazimisha watu wafikirie unavyotaka wewe wakati mwenyewe haupo sahihi, umeandika hii kwa ubinafsi wako na chuki zisizo na sababu kwa Mbowe.

Unajisifu na fikra huru kivipi wakati kimsingi unaleta udikteta wa kutaka kutawala fikra za wenzio? wacha utoto.

mpigieni kura za ndio lowasa akishika dola hatakua fisadi tena, mmeniskia uko ufipa?
 
Utaishia kuokoteza viji tweets lkn naona report ya CAG imekumaliza na kuthibitisha kuwa awamu ya 5 iliongoza kwa ufisadi

Kwahiyo unataka wakushabikie we we? Hitler na Osama wanamashabiki hadi leo sembuse Magufuli?
Kwa ujinga wako na tamaa ya ubwabwa nadhani ungempigia tu lungwe bila kujua
Maana nyi watoto wa kitaa kula wali ni shida
 
Back
Top Bottom