Hotuba ya Mpina imenitoa machozi akichukua fomu kugombea uspika mwaka mmoja uliopita

Hotuba ya Mpina imenitoa machozi akichukua fomu kugombea uspika mwaka mmoja uliopita

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906

NIMESIKILIZA HII HOTUBA YA MBUNGE MPINA AKOSOA YALIYOFANYWA NA NDUGAI AKIWA SPIKA, WAKATI AKICHUKUA FOMU YA USPIKA NA KUTANGAZA KUREKEBISHA MAPUNGUFU​


MSIKILIZE NA WEWE UNAWEZA KUJIFUNZA VITU NA HALI ILIVYO SASA NA TULIA ANAVYOONGOZA BUNGE


View: https://youtu.be/HdOl2bhdsWY
 
Huyu ni mchumia tumbo tu hana lolote, alipokua waziri mbona sikuona akikosoa bunge lilivyokua linaendeshwa? Enzi zile gesi yetu inauzwa kwa Hati ya dharura Hadi kina Lissu wanatolewa nje mbona hakutoka bungeni? Si kisa alikua Naibu waziri?! Leo Hana uwaziri ndio anajifanya anapigania rasilimali?
 
Back
Top Bottom