Huyu ni mchumia tumbo tu hana lolote, alipokua waziri mbona sikuona akikosoa bunge lilivyokua linaendeshwa? Enzi zile gesi yetu inauzwa kwa Hati ya dharura Hadi kina Lissu wanatolewa nje mbona hakutoka bungeni? Si kisa alikua Naibu waziri?! Leo Hana uwaziri ndio anajifanya anapigania rasilimali?