Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

Msimjazie Rais maneno ya kuongea mwacheni kwani YY hajui nn kinachoendelea?hii ndo shida ya nchi yetu kila mtu anataka kumlisha Rais wetu jambo la kuongea.Mwacheni aongee mwenyewe shida iko wapi nyinyi subirini kuchambua hotuba yake.
 
Ninatamani sana kama atalivunja bunge maana halina afya kwa ustawi wa maisha yetu
Ndugai na Tulia wamekua watu wa mihemko
Bora bunge livunjwe kwani hata hivyo situmeambiwa ipo miradi inaendeshwa lakini bunge halijaidhinisha?
Hiyo bajeti ya TAMISEMI siniboratu huyo waziri angekaa kimya kuliko huo ujenzi unaozidi makusanyo ya halmashauri
 
wacha tusubirie tuone Mama atakuja na muelekeo upi?
 
Asipogusia suala la wabunge feki 19 atakuwa naye ameenda kudemka bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…