Hotuba ya Rais ililenga kukataza wateuliwa na watendaji kuacha kuanza kutafuta urais wafanye kazi na hatanii

Hangaikeni na Chadema lenu lenu linalowadodea linaloelekea kuwa ama TLP ya CCM tuachieni wenyewe
Nanyi makada wa CCM mngefanya hivyo hivyo,ya CDM pia mtuachie wenyewe!Hangaikeni na CCM yenu!
 
Hahaha yeye aliuacha ualimu akaenda kuutafuta ubunge, yeye hataki wananchi watafute nafasi za kuchaguliwa kwasababu yeye kazoea kuteua na kuwatukana na kuwanyanyasa anaowateua, hivyo anadhani wote wanataka kuteuliwa naye?!
 
Sisi chama tawala tunatawala hadi vyama vya upinzani
😁😁😁,ndio maana mkaamua mtuachie jimbo moja kwa huruma tu!!!
Ila sisi wananchi ambao ni wafuasi wa upinzani hatutanyamaza,mkikosea tuna ninyi!
 
No one knows tommorow..
Only God knows who will be in power 2025..
 
Hangaikeni na Chadema lenu lenu linalowadodea linaloelekea kuwa ama TLP ya CCM tuachieni wenyewe

Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha kijeshi kulichojivika koti la chama cha siasa. Mbinyo toka nje ndio utawezesha hili genge haramu kutoweka.
 
Hahaha yeye aliuacha ualimu akaenda kuutafuta ubunge, yeye hataki wananchi watafute nafasi za kuchaguliwa kwasababu yeye kazoea kuteua na kuwatukana na kuwanyanyasa anaowateua, hivyo anadhani wote wanataka kuteuliwa naye?!
Enzi hizo ajira zilikuwa tele ukiondoka unakuta bado kuna peng kubwa linakusubiri wasomi walikuwa wachache .Sasa hivi unamringia nani ? Chagua kazi au siasa sio kotekote unataka wakati mtu mwingine hata hiyo kazi moja hana.Ukienda siasa nafasi yako inatakiwa kujazwa haraka mara moja na mwingine.Usiwe mtumwa wa historia na kuishi kwa mazoea mambo yamebadilika wasomi wengi wenye sifa hata kukuzidi wako kibao ukinyanyua mguu tu kwenda siasa nafasi inajazwa chap
 
Hahaha siasa sio kazi?! Mbona Magufuli anataka kutokwa roho wenzake wakitaka nafasi hizo?! Au ni zake peke yake.
Sema amezoea kutukana na kunyanyasa watu hivyo wale wanaoamua kwenda kwa wananchi kuomba ridhaa hawataki, anataka wale wanajikomba kwake awateuwe aanze kuwatukana na kuwazodoa kila siku.

Ndio maana hata mawaziri anatafuta wanaomwabudu yeye.
 
Haliwezi kufanikiwa. Nyerere mwenyewe alishindwa, Mwinyi alishindwa, Mkapa alishindwa na JK pia alishindwa
Miaka yote imekuwa vigumu kwa Rais aliyeko madarakani kumpendekeza mtu wake anayemtaka na akawa Rais. Muhula huu kuna kila dalili hilo likafanikiwa kwa mara ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…