Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Nanyi makada wa CCM mngefanya hivyo hivyo,ya CDM pia mtuachie wenyewe!Hangaikeni na CCM yenu!Hangaikeni na Chadema lenu lenu linalowadodea linaloelekea kuwa ama TLP ya CCM tuachieni wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nanyi makada wa CCM mngefanya hivyo hivyo,ya CDM pia mtuachie wenyewe!Hangaikeni na CCM yenu!Hangaikeni na Chadema lenu lenu linalowadodea linaloelekea kuwa ama TLP ya CCM tuachieni wenyewe
😁😁😁,ndio maana mkaamua mtuachie jimbo moja kwa huruma tu!!!Sisi chama tawala tunatawala hadi vyama vya upinzani
Hangaikeni na Chadema lenu lenu linalowadodea linaloelekea kuwa ama TLP ya CCM tuachieni wenyewe
Unachekesha[emoji1787]Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha kijeshi kulichojivika koti la chama cha siasa. Mbinyo toka nje ndio utawezesha hili genge haramu kutoweka.
Enzi hizo ajira zilikuwa tele ukiondoka unakuta bado kuna peng kubwa linakusubiri wasomi walikuwa wachache .Sasa hivi unamringia nani ? Chagua kazi au siasa sio kotekote unataka wakati mtu mwingine hata hiyo kazi moja hana.Ukienda siasa nafasi yako inatakiwa kujazwa haraka mara moja na mwingine.Usiwe mtumwa wa historia na kuishi kwa mazoea mambo yamebadilika wasomi wengi wenye sifa hata kukuzidi wako kibao ukinyanyua mguu tu kwenda siasa nafasi inajazwa chapHahaha yeye aliuacha ualimu akaenda kuutafuta ubunge, yeye hataki wananchi watafute nafasi za kuchaguliwa kwasababu yeye kazoea kuteua na kuwatukana na kuwanyanyasa anaowateua, hivyo anadhani wote wanataka kuteuliwa naye?!
Hahaha siasa sio kazi?! Mbona Magufuli anataka kutokwa roho wenzake wakitaka nafasi hizo?! Au ni zake peke yake.Enzi hizo ajira zilikuwa tele ukiondoka unakuta bado kuna peng kubwa linakusubiri wasomi walikuwa wachache .Sasa hivi unamringia nani ? Chagua kazi au siasa sio kotekote unataka wakati mtu mwingine hata hiyo kazi moja hana.Ukienda siasa nafasi yako inatakiwa kujazwa haraka mara moja na mwingine.Usiwe mtumwa wa historia na kuishi kwa mazoea mambo yamebadilika wasomi wengi wenye sifa hata kukuzidi wako kibao ukinyanyua mguu tu kwenda siasa nafasi inajazwa chap
Miaka yote imekuwa vigumu kwa Rais aliyeko madarakani kumpendekeza mtu wake anayemtaka na akawa Rais. Muhula huu kuna kila dalili hilo likafanikiwa kwa mara ya kwanza.