Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Sijasikiliza hiyo hotuba, huyo Gwajima katamka huo upuuzi?Sawa,hotuba tumeisikia na haina jambo jipya!Nimeona pamoja kwamba bunge ni la kwenu bado mnaendelea kututukana,Gwajima amepewa nafasi ya kushukuru anamwambia Rais kuwa sisi wafuasi wa upinzani ni "mbwa"!
Bunge kuisimamia serikali lazima wajue itafanya Nini kipindi hiki hata mkaguzi wa mahesabu hawezi kagua tu wakati hajui shughuli zako unazofanya Ni zipi lazima apate maelezo kutoka kwako !!!That's nonesense!! yaani unapanga au kuamuru muhimili unaokukagua/simamia utendaji wako sehemu unazotaka wewe.?
Mna hali tete sana huko mbeleni!
Viapo vya usanii?Very sad, hicho siyo kiapo. Ni usanii wa duniani. Unaapa mbele ya jambazi na makahaba? Halafu ukifanya uovu unasifiwa.
Wanatambua uchaguzi ni batiliMabalozi wa western countries hawajaenda bungeni hii inaashiria nini.....
Yupo na wana CCM wenzake
Yanga A na Yanga B mko mazoeziniWabunge wa Chadema na CUF wamo bungeni bwashee!
Atawaza sana mwaka huu.
Sijasikiliza hiyo hotuba, huyo Gwajima katamka huo upuuzi?
Pengine anautafuta unaibu somewhere kwa kasi ya ajabu!
Mchukue hili huyu dada anaenda kuwa mfanyakazi wa CCM kwa kimvuli cha uwakilishi wa CHADEMA bungeni.
Hawakuwepo mkuu, uchaguzi ni haramuAliye shuhudia mabalozi wa marekani na ulaya kuhudhuria ufunguzi wa bunge anijuze, kama hawakuwepo ni kwanini.
Yuko bega kwa bega na comred Katambi👏👏
Hawawezi kwenda kwenye hiiAliye shuhudia mabalozi wa marekani na ulaya kuhudhuria ufunguzi wa bunge anijuze, kama hawakuwepo ni kwanini.