Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Mh. Askofu Gwajima kapewa nafasi ya kushukuru hotuba ya Rais kwa niaba ya wabunge,,,,
Mdee kazima tv yake hahahahah!
"...hakuna beberu atakayekupenda kwa projection ya hii hotuba yako...." Mh. Gwajima (MB)
Chief Crier ' muimbaji wa sifa mkuu" , and the chief is really smiling with a comfort of being sarrounded with positive vibers ...
 
Tafakuri Jadidi na Tunduizi

Mh. Rais wetu Mchapakazi, usiku wa kuamkia leo amewateua Prof. Kabudi na Dr. Mpango kuwa Mawaziri. Na hii si mara ya kwanza kwa Mh. Rais kuteua au kutumbua usiku wa manane. Mh. POLEPOLE aliwahi kutueleza kuwa Mh. Rais anafanya kazi hadi usiku wa manane na hii yote ni katika jitihada zake za kuiletea nchi yetu maendeleo

Ibara ya 51(1) ya Katiba ya TZ inasema kabla ya PM hajaanza kazi kama PM ni lazma ale kiapo mbele ya Mh. Rais.

Ibara ya 55 inamtaka Mh. Rais kushauriana na PM kabla hajaunda Cabinet.

Suala la kuapishwa PM, Mawaziri na viongozi wengine mbele ya Rais huwa daima linarushwa live na TV & redio. PM huwa anaapishwa Ikulu. Hata hivyo, binafsi sikumuona PM akila kiapo jana. Baada ya PM kuteuliwa na Mh. Rais na wabunge kuidhinisha kwa 100% (kama wengi tulivyotegemea kutikana na utendaji wake mujarab awanu iliyopita), nilichokuwa nakisubiria ni Mh. Rais kulihutubia Bunge leo kisha PM aapishwe na kisha Mh. Rais ateue Mawaziri kwa kushauriana nae.

Maswali "Pasua Kichwa":

1. Je, PM ameishaapishwa?

2. Je, kama PM hajaapishwa, ina maana Mh. Rais hakumuhusisha PM kwenye uteuzi wa Mawaziri hawa?

3. Kama alimuhusisha, je ni sahihi kwa Mh. Rais kumuhusisha PM ambaye hajaapishwa?

🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

Copy and paste
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Anaapishwa Leo. Bavicha ni utopolo kabisa😁
 
Chadema tunawashukuru kwa kusikiliza hotuba ya rais John Pombe Joseph Magufuli akihutubia bunge la Tanzania
Sasa tunasubiri mtuletee hotuba ya Tundu Antipas Lissu akihutumia bunge la ubelgiji
 
Lisu asinyeweza kutoa hotuba Kama hiyo hana uwezo huo hotuba imekaa vizuri kila Kona
mkuu iyo ni hotuba ama mwendelezo wa kampeni maana naona anarudia yaleyale aliyo sema wakati wa kampeni yaani hakuna la maana ni upumbavu mtupu.
 
Imani za dini humponya binadamu kiroho na kimwili nasi wakristo hushiriki kuula mkate na kuinywa divai kama " ishara" ya kupokea uponyaji huo.

Imani za kisiasa huuponya mwili na hasa tumbo ndio maana Wanasiasa wanaipigania amani ya mwilini siyo ya rohoni ( haki)

Maendeleo hayana vyama!
je unajua nini maana ya haki? Kipi kinaanza kati ya haki na amani?
 
mkuu iyo ni hotuba ama mwendelezo wa kampeni maana naona anarudia yaleyale aliyo sema wakati wa kampeni yaani hakuna la maana ni upumbavu mtupu.
Kampeni alihutubia kuwaomba wapiga kura waikubali ilani ya CCM

Hapo bungeni anaji commit kwenye mhimili utakaomsimamia utendaji wake kuwa wamsimamie maeneo yapi

Hapo anajieleza kwa wasimamizi wake watakosimamia utendaji wake kuwa assess me in the following areas
 
Gwaji anapigania uwaziri kwa nguvu zote
mkuu iyo ni hotuba ama mwendelezo wa kampeni maana naona anarudia yaleyale aliyo sema wakati wa kampeni yaani hakuna la maana ni upumbavu mtupu.
 
Chuki zitaendelea maofisini huko Kuna watu wanatumia huo mwanya kwamba tumbua basi wanaumizana saana. Mkuu ajue maofisi yana chuki visa na kila aina ya vita hivyo umakini uwepo watu wanaonewa wanazushiwa.
 
MABEBERU wanayaonea wivu maendeleo yetu....

-Mh.Askofu Gwajima mbunge wa Kawe!!
 
Back
Top Bottom