Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Mh. Askofu Gwajima kapewa nafasi ya kushukuru hotuba ya Rais kwa niaba ya wabunge,,,,
Mdee kazima tv yake hahahahah!
"...hakuna beberu atakayekupenda kwa projection ya hii hotuba yako...." Mh. Gwajima (MB)
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Gwaj anasema kumrushia mawe kila mbwa anayekubwekea ni ujinga😁
 
Ukweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu

1. Akisema anasema uongo
2. Akiahidi hatekelezi
3. Akiaminiwa anafanya hiyana

-Anasema maendeleo hayana chama, lakini anakiri na kuonya kutopeleka maendeleo sehemu watakazochagua upinzani.

-Kaahidi milion 50 kila kijiji hajatoa

-Kaaminiwa kulinda na kuitetea katiba lakini yeye ndio huwa wa kwanza kuivunja kwa mfano kitendo cha kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya zilizoko kwenye katiba.

Kutokana na yeye kuwa mtu asiyeaminika mimi niliacha kitambo sana kumchukulia serious au kupoteza muda wangu kumsikiliza
I had to sign in just to like your comment
You have spoken the truth
 
Mh. Askofu Gwajima kapewa nafasi ya kushukuru hotuba ya Rais kwa niaba ya wabunge,,,,
Mdee kazima tv yake hahahahah!
"...hakuna beberu atakayekupenda kwa projection ya hii hotuba yako...." Mh. Gwajima (MB)
Kwanini azime? Uko nae hapo au?
 
Lisu alikataa cheo ,

Lisu Ni mwanasiasa wa kwanza kutoka Afrika kwenda kuchongea nchi yake kwa wazungu

Mandela, Museveni , Kagame ,Laila Odinga nk hawajawahi kwenda ulaya au bunge la ulaya kuchongea nchi zao katika harakati zao za kisiasa wakiwa wapinzani

Lisu Ni mwanasiasa mwafrika wa kwanza kwenda kuchongea nchi kwenye mabunge ya wazungu
Umejuaje kama anaenda kuchongea?
Au kuna madhambi yalifanyika mnaogopa yasijulikane?
Tulueni eidha vikwazo tuwe kama Zimbabwe au Nguvu za jeshi la NATO tuwe kama Libyan
Gaddafi alikua mbabe kuliko jiwe mwisho wake ona hapo chini
 

Attachments

  • Screenshot_20201104-134000.jpg
    Screenshot_20201104-134000.jpg
    69.4 KB · Views: 2
Bunge limetulia, amani tele, wazee wa bongo muvi wa kuzira na kutoka nje ya bunge bada ya kusaini per diem leo hakuna.......hakika Mungu anaipenda Tanzania!
 
Back
Top Bottom