Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Unasikia Gwajima anavyotukana watu?Ndio maana kumetengwa budget kuandaa wanamichezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasikia Gwajima anavyotukana watu?Ndio maana kumetengwa budget kuandaa wanamichezo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mh. Askofu Gwajima kapewa nafasi ya kushukuru hotuba ya Rais kwa niaba ya wabunge,,,,
Mdee kazima tv yake hahahahah!
"...hakuna beberu atakayekupenda kwa projection ya hii hotuba yako...." Mh. Gwajima (MB)
Hiyo nafasi inabidi upewe wewe sasa.Ni kweli hii hotuba imegusa nyanja zote.
Rais alishaahidi kumpa Tundu kazi, ila Tundu ameshaondoka ameenda kuanza kazi ya kuhutubia mabunge ya wazungu huko alikoenda
Tunywe mchuzi nyama mziko chiniutaboresha maslahi ya watumishi wote, watumishi wasiwe na wasiwasi wachape kazi
Ndio inaendeleaaaahii ile kelele ya tanzania ya viwanda ilifia wapi?
I had to sign in just to like your commentUkweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu
1. Akisema anasema uongo
2. Akiahidi hatekelezi
3. Akiaminiwa anafanya hiyana
-Anasema maendeleo hayana chama, lakini anakiri na kuonya kutopeleka maendeleo sehemu watakazochagua upinzani.
-Kaahidi milion 50 kila kijiji hajatoa
-Kaaminiwa kulinda na kuitetea katiba lakini yeye ndio huwa wa kwanza kuivunja kwa mfano kitendo cha kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya zilizoko kwenye katiba.
Kutokana na yeye kuwa mtu asiyeaminika mimi niliacha kitambo sana kumchukulia serious au kupoteza muda wangu kumsikiliza
Kwanini azime? Uko nae hapo au?Mh. Askofu Gwajima kapewa nafasi ya kushukuru hotuba ya Rais kwa niaba ya wabunge,,,,
Mdee kazima tv yake hahahahah!
"...hakuna beberu atakayekupenda kwa projection ya hii hotuba yako...." Mh. Gwajima (MB)
Lisu alikataa cheo ,
Umejuaje kama anaenda kuchongea?Lisu Ni mwanasiasa wa kwanza kutoka Afrika kwenda kuchongea nchi yake kwa wazungu
Mandela, Museveni , Kagame ,Laila Odinga nk hawajawahi kwenda ulaya au bunge la ulaya kuchongea nchi zao katika harakati zao za kisiasa wakiwa wapinzani
Lisu Ni mwanasiasa mwafrika wa kwanza kwenda kuchongea nchi kwenye mabunge ya wazungu
" Acha mbwa wabweke,Chuma kinachapa mwendo'Labda wewe na familia yako ndiyo mmesubiri kwa hamu.
Mwenye akili halazimishi ushindi kwa kuiba kura.Wenye akili timamu tupo ,tutamsikiliza ,msifikili nchi hii kila mtu ni misukule kama ninyi!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣hiyo nafasi inabidi upewe wewe sasa.
Unafiki mtupu!Anasema ataboresha Demokrasia, Uhuru wa vyombo vya habari, na atafanya kazi bega kwa bega wa Jumuia ya kimataifa -
anaaminika??
Mwenyewe anaona aibu sanaMwenye akili halazimishi ushindi kwa kuiba kura.
Tusubiri tumsikie huyu msaliti mweusi wa kwanza mwafrika kwenda kuchongea nchi yake kwa wazunguUmejuaje kama anaenda kuchongea?