Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

wakati namaliza chuo nilikataa sana kazi ya kutafutiwa na mtu au ndugu
 
Kwani yeye ni rais wa dini ya kiislamu?
acha kuuanika upumbavu wako...
 
"Nasema hivi sisi tunasonga mbereeee,lazima tukubari kuumia ndg zangu ingawa mimi sio mwenzenu natembea na ma v8 yakutosha na helikopta juu ila nyie wanyonge fungeni mikanda."

Nasema uongo ndg zangu?Mitano tenaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hiyo pesa wataitoa wapi?

SGR, Stiglers vyote bado havijafika hata nusu.
Hali ya kukubalika kwa hawa watu ni mbaya sana hivyo mtarajie kuona wanaanza kurudi hata kwa kufanya mambo kwa kulazimisha.
 
Kumbe unatazama bunge letu. Safi sana kamanda. Sasa dawa imeingia
 
Hahah hiiiiiiiiiiiiiiiiiii kampeni za mwaka huu Magufuli alikua anamshangaa JPM kwa kutotoa ajira kwa vijana,maji kukosekana,barabara mbovu etc.

NB:sijakosea kuandika Magufuli alimshangaa JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…