Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye ni rais wa dini ya kiislamu?Ukweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu
1. Akisema anasema uongo
2. Akiahidi hatekelezi
3. Akiaminiwa anafanya hiyana
-Anasema maendeleo hayana chama, lakini anakiri na kuonya kutopeleka maendeleo sehemu watakazochagua upinzani.
-Kaahidi milion 50 kila kijiji hajatoa
-Kaaminiwa kulinda na kuitetea katiba lakini yeye ndio huwa wa kwanza kuivunja kwa mfano kitendo cha kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya zilizoko kwenye katiba.
Kutokana na yeye kuwa mtu asiyeaminika mimi niliacha kitambo sana kumchukulia serious au kupoteza muda wangu kumsikiliza
Hali ya kukubalika kwa hawa watu ni mbaya sana hivyo mtarajie kuona wanaanza kurudi hata kwa kufanya mambo kwa kulazimisha.Hiyo pesa wataitoa wapi?
SGR, Stiglers vyote bado havijafika hata nusu.
Kama mimi tarehe ya jana ndio nilitakiwa niwekewe makato yangu benk kutoka nssf ila mpaka muda huu hamna kitu! 😠Mifuko ya jamii ipo hoi kabisa
Ukitaka kubisha jaribu kufanya research Channel ip inaangaliwa Sana muda huu
Kumbe unatazama bunge letu. Safi sana kamanda. Sasa dawa imeingiaUtabiri:
Katika kujaribu kujibu hoja za Lissu na pia kuweka mambo sawa na zaidi katika kujaribu kutuliza machungu ya watu yaliyotokana na huu uchaguzi unaolalamikiwa kila kona, wanaweza leo kuja na tangazo la nyongeza ya mishahara katika hotuba itayotolewa Mjengoni.
Wanaweza kurekebisha Bajeti katika Bunge hili ili kuongeza hiyo mishahara japo hali ni tete.
Pia, hii itakuwa ni katika kuonyesha tunaweza tukiamua kumbe ni kujaribu tu kutafuta support ya umma kwa kuanza kujitekebisha.
Kumbukeni huu ni utabiri hivyo unaweza kutimia kama navyotarajia au vinginevyo but mkae mkijui hili haliko mbali.
Kwani kiongizi kua mnafiki lazima awe wa kiislamu?Kwani yeye ni rais wa dini ya kiislamu?
acha kuuanika upumbavu wako...
Yaani kati ya watanzania 56milioni ni watu Elfu 4 tu ndio wanafuatilia!View attachment 1625405
Tupo 4.3k, na idadi inaendelea kuongezeka
Mkuu suburi kama miezi 8 wakusanye kidogoKama mimi tarehe ya jana ndio nilitakiwa niwekewe makato yangu benk kutoka nssf ila mpaka muda huu hamna kitu! 😠
Io ni tbc Kuna watu wako wanaangalia azam TV wengine online wengine Yan kila nyumba pita pemben lazima utasikia bunge na saut ya simba wa nyika ikingurumaView attachment 1625405
Tupo 4.3k, na idadi inaendelea kuongezeka
Kwan chadema Kati ya Hao watu mlipigiwa kura na wangapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani kati ya watanzania 56milioni ni watu Elfu 4 tu ndio wanafuatilia!
Upuuzi mtupu.
Nipo home na TBC mubashara kabisa nikiwa na jirani yangu tukifuatilia.View attachment 1625405
Tupo 4.3k, na idadi inaendelea kuongezeka