Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

wakati namaliza chuo nilikataa sana kazi ya kutafutiwa na mtu au ndugu
 
Ukweli ni kuwa Jiwe ametimiza alama zile tatu za mnafiki kwa mujibu wa mafunzo ya dini ya kiislamu

1. Akisema anasema uongo
2. Akiahidi hatekelezi
3. Akiaminiwa anafanya hiyana

-Anasema maendeleo hayana chama, lakini anakiri na kuonya kutopeleka maendeleo sehemu watakazochagua upinzani.

-Kaahidi milion 50 kila kijiji hajatoa

-Kaaminiwa kulinda na kuitetea katiba lakini yeye ndio huwa wa kwanza kuivunja kwa mfano kitendo cha kuzuia shughuli halali za kisiasa za vyama vya zilizoko kwenye katiba.

Kutokana na yeye kuwa mtu asiyeaminika mimi niliacha kitambo sana kumchukulia serious au kupoteza muda wangu kumsikiliza
Kwani yeye ni rais wa dini ya kiislamu?
acha kuuanika upumbavu wako...
 
"Nasema hivi sisi tunasonga mbereeee,lazima tukubari kuumia ndg zangu ingawa mimi sio mwenzenu natembea na ma v8 yakutosha na helikopta juu ila nyie wanyonge fungeni mikanda."

Nasema uongo ndg zangu?Mitano tenaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Hiyo pesa wataitoa wapi?

SGR, Stiglers vyote bado havijafika hata nusu.
Hali ya kukubalika kwa hawa watu ni mbaya sana hivyo mtarajie kuona wanaanza kurudi hata kwa kufanya mambo kwa kulazimisha.
 
Ukitaka kubisha jaribu kufanya research Channel ip inaangaliwa Sana muda huu
1605251349862.png

Tupo 4.3k, na idadi inaendelea kuongezeka
 
Utabiri:

Katika kujaribu kujibu hoja za Lissu na pia kuweka mambo sawa na zaidi katika kujaribu kutuliza machungu ya watu yaliyotokana na huu uchaguzi unaolalamikiwa kila kona, wanaweza leo kuja na tangazo la nyongeza ya mishahara katika hotuba itayotolewa Mjengoni.

Wanaweza kurekebisha Bajeti katika Bunge hili ili kuongeza hiyo mishahara japo hali ni tete.

Pia, hii itakuwa ni katika kuonyesha tunaweza tukiamua kumbe ni kujaribu tu kutafuta support ya umma kwa kuanza kujitekebisha.

Kumbukeni huu ni utabiri hivyo unaweza kutimia kama navyotarajia au vinginevyo but mkae mkijui hili haliko mbali.
Kumbe unatazama bunge letu. Safi sana kamanda. Sasa dawa imeingia
 
Hahah hiiiiiiiiiiiiiiiiiii kampeni za mwaka huu Magufuli alikua anamshangaa JPM kwa kutotoa ajira kwa vijana,maji kukosekana,barabara mbovu etc.

NB:sijakosea kuandika Magufuli alimshangaa JPM.
 
Back
Top Bottom