Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Yaani ngedere wa kijani wanafanya kikao chao, halafu sisi watu wenye akili timamu tuwafuatilie, ili iweje?
 
stpd
 
Kibano cha mtu aliye fail?
Alipata hata nusu ya kura za Lowasa na wabunge wangapi?
Mnampa mtu sifa asizo kuwa nazo.
Tulipiga kibaraka na beberu lake over
Kwa sasa wamejifungia huko wanafarijiana.
 
Zile ajira 13000 ziliishia wapi?
 
Kwan chadema Kati ya Hao watu mlipigiwa kura na wangapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha ujinga na kukariri.
Kila mtu anayependa haki na kupinga dhuluma, nyinyi mnamuona ni CHADEMA.

Yaani bila kuitaja CHADEMA hampati attention.
 
Utumbuaji majipu utaendelea

Maslai ya wafanyakazi yataboreshwa
Wachape kazi

Ajira millioni 8 na Mikopo ya 10% kwa vijana kwa ngazi ya halmashauri

Hotuba ya Rais Ufunguzi wa bunge 2020
 
Hilo haliwezekani kwasasa kwasababu pia hawajui majaaliwa ya mabeberu kwa bajeti yetu.
 
Mimi sikumchagua ila nafatilia, nitoe kwenye hiyo 90%
 

Hata habari za vita vya Ghuba tulizifuatilia sana, je tulikuwa tunaviunga mkono vita vile?
 

Sio kila anayekusikiliza ana lake jema wengine wanataka wapate point za kukosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…