Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
Magufuli anasoma hotuba vizuri sana kwa utulivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulio kataa kuandamana [emoji849]Ni kama mnajaribu kuhalalisha haramu aisee hao watanzania wa wapi mkuu
hivi kuna mtu anasikiliza utopolo?
Ukisikia watu wanashangilia washa!
Pole sana, lakini angalau ameonyesha hisia zake kuwa hataki takataka! She is firm in her undertakings!Asubuhi nimemwambia mke wangu asiache head phone yake ili asikilize hotuba ya rais, tusi alilonitukana hajawahi toka tumeoana, na siwezi kuliweka hapa nitapigwa ban.
Mbona Alisha ajiri million sita hukuziona aaaaaaa bwana.Ajira zinakuja milioni 8. Magu oyeeeeeeeeeeeee
Usijali kaka ndio MAHABA hayo ..Asubuhi nimemwambia mke wangu asiache head phone yake ili asikilize hotuba ya rais, tusi alilonitukana hajawahi toka tumeoana, na siwezi kuliweka hapa nitapigwa ban.
Ajira zinakuja milioni 8. Magu oyeeeeeeeeeeeee
Lissu na Mbowe hawakuahidi Bali walitoa tathmini yaoLissu kaahidi atakuwa rais hajatekeleza, Mbowe kuahidi kuwa waziri mkuu ndani ya masaa 72 hajatekeleza, Sasa Hawa wanafiki hujawaona?
Izime tuu maana tv yako inashika station moja tuu TBC.Ntakuwa karibu nayo Ila ntaizima Ili nisipoteze umeme wangu.
Tupo tunangaliaWatanzania gani walioisubiri kwa hamu Siku hii? Kutakuwa na jipya gani? Ni Ushindi gani unaouongelea wewe? Endeleeni kuigiza.
Unataka na mtoto wa miaka 7 aache kwenda shule aangalie bunge.Yaani kati ya watanzania 56milioni ni watu Elfu 4 tu ndio wanafuatilia!
Upuuzi mtupu.
Huna hojaLissu na Mbowe hawakuahidi Bali walitoa tathmini yao
Mimi nikua na malengo ya kua Daktari wakati nasoma lakini ninekua mfanyabiashara ile haikua ahadi
Lakini huyu KAFIRI ni MNAFIKI maana alisema nikipata uraisi tatoa mill 50 kila kijiji na lap top Kwa kila mwanafunzi
Mlisema shetani hawezi kumshinda Mungu.Watanzania wapi hao unao wazungumzia ,Bunge la CCM kwa hisani ya Mwenyekiti malaika asie kosea na alie shindishwa kwa kishindo.
Mmeiharibu Nchi yetu sana nyie Watu.
Mwenye hoja ni yule alie fyata mkia akarudi CCM Kwa kumuogopa KAFIRIHuna hoja