Hotuba ya Rais Magufuli kufungua Bunge la 12: Utumbuaji majipu utaendelea ili kuhakikisha Watumishi wanatenda kazi kwa mujibu wa Sheria na Kanuni

Bunge lililopita ilikuwa Mbunge wa CCM akisimama Bungeni na kuwashambulia Wabunge wa Upinzani, Magufuli alikuwa anawapa Uwaziri/Unaibu sasa mara kama mlitegemea kupata vyeo kwa kushambulia upinzani mmeula ya chuyaaaa!..
 
Lissu kaahidi atakuwa rais hajatekeleza, Mbowe kuahidi kuwa waziri mkuu ndani ya masaa 72 hajatekeleza, Sasa Hawa wanafiki hujawaona?
 
Sasa akifanya hivyo itakuwa ni kwasababu ya uchaguzi au atakuwa anatimiza wajibu ambao ulitakiwa kuwa umefanywa miaka mitano iliyopita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema watanzania wanaofuatilia mkutano wa ccm walioamua kuufanyia bungeni.
 
Bwashee usichanganye Imani ya dini yako na siasa!
Acha aweweseke, Ponda alisema waislam wote wamekubaliana kumpigia kura zote tundu Lissu na ameshakuwa rais na anasubiri kuapishwa tuu, huyu mnafiki na waislam wanafiki waliokubaliana na ponda kusema uongo mbona hawaoni?
 
Dege la mizigo laja
Watu wafanye kazi waume mizigo abroad
 
Ni kama mnajaribu kuhalalisha haramu aisee hao watanzania wa wapi mkuu
 
Hao watu wawili sio chama pinzani wamewaweka ili kutimizamatakwa yai ili binge lionekane linawapinzani wakati ni viini macho mazingaombo
Yule mwanamke ni afisa kipenyo, CDM fukuza takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…