- Thread starter
- #41
Mkuu shule zitafunguliwa maana neno la mzee baba ni sheria.
Mkuu tusiandikie mate. Wenyewe wanaita "testing the waters" kwa kiswahili cha mtaani "kubeep".
Watakuahidi hadi hata ikafikia almost kesho wanakwambia wameahirisha kidogo.
Karata yetu pekee iko na beberu kugundua dawa au chanjo. Tunaosali kwa ajili ya hilo si jiwe peke yake bali tuko wengi tu kwa maana tunapenda kuishi sisi na wapendwa wetu kama sababu ya kufa inaweza kuepukika:
Corona: Beberu agundue dawa haraka, sala pekee ya mzee baba - JamiiForums