Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

Amerika ni taifa kubwa na hata namna wanavyofanya uchaguzi wao inadhihirisha wazi kuwa wao demokrasia ni jadi yao sawa tu na sisi ambavyo udikteta ni jadi yetu.

Wao uchaguzi ukiisha ukiona hujaridhika uko huru kutafuta haki mahakamani tofauti na huku kwetu ambapo uchaguzi ukiisha wale waliojitangaza washindi kwa mtutu wa bunduki, wanageuka na kuwawinda wale waliowadhulumu kama ngedere.

Lakini wala hamna cha kushangaza hapo kwani mwafrika na mzungu ni viumbe viwili tofauti kabisa, kifikra, kimtizamo, kihulka, kiakili na hata kitabia.

Nimeona hapo rais mteule Biden akisema kuwa "Tusiwatizame wapinzani wetu kama maadui zetu na kwamba kinachotuleta pamoja kama wamarekani kina nguvu kuliko kinachoweza kutusambaratisha".

Ameongea jambo kubwa mno hapo ambalo haliwezi kutoka kwenye kinywa cha mtawala wa kiswahili ambaye akishatangazwa mshindi ajenda yake kuu anayoanza nayo ni kuwanyanyasa na hata kuwaua wale wote waliompinga kwenye uchaguzi. Ndio maana ya kutofautiana na wenzetu karibu kwa kila jambo.

Chanzo cha matatizo yasiyoisha na ufukara wa waafrika imejikita zaidi katika hulka yetu na ndio maana hatuna asili ya kuwa viongozi, tulidandia treni bila kujua ilikokuwa ikielekea. Poor Africa.
Comment yako ni nzuri sana. I appreciate this.

Though kauli ya Joe Biden ni ya Kidemokrasia tu. Mwanademokrasia yoyote ni lazima awe na kauli kama hiyo.

Sasa kama Tundu Lissu anasema akishinda tu ni lazima John Pombe Magufuli aende mahakama ya ICC the same way anasema anatokea Chama cha Democratic.

Though kuwa Democratic haina maana kwamba wahalifu wasipelekwe Mahakamani, lakini mfumo wa upinzani Tanzania ume base sana kuona unaonewa kila wakati.
 
Biden anasema atawatumikia kwa juhudi hata kwa wale ambao hawakumpigia kura.

Wa kwetu anasema mkinichanganyia wabunge wa upinzani basi maendeleo na maji mtayasikia tu (Siwaletei).
Mfuatilie Mh Rais Dr John Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kikazi kwenye jimbo la Zitto Kabwe, Prof Jay, Peter Msigwa na wapinzani wengine, wanakiri wazi kuwa John Pombe Magufuli alipeleka maendeleo majimboni kwao bila ubaguzi.

Kauli za kisiasa na za kuomba kura huwa ni nyingi sana. Kikubwa ni kupata kura.

Kwenye majimbo yao John Pombe Magufuli alipeleka Wakuu wa wilaya, Ma DAS, wakurugenzi na watendaji wengine kwa ajili ya kusimamia shughuli za maendeleo.

Kwa John Pombe Magufuli kazi itaendelea.
 
Nyie mmemsikia Tundu Lissu anasema akishinda tu ni lazima John Pombe Magufuli aende mahakama ya ICC.

The same side anatokea Chama cha Democratic.

Democratic gani hiyo?
 
Hivi ndivyo mashabiki wa Trumpet wanaamini watashinda urais Marekani.

Taarifa ni kwamba Nusu ya Ulinzi wa White House umeenda kulinda makazi ya sasa ya Bwana Joe Biden.

Kama Trump atakataa kuondoka Ikulu ifikapo January 20, Nusu ya Walinzi wa Rais aliyeko madarakani waliobaki Ikulu mpaka sasa wataondoka na kumpa ulinzi Kamili Bwana Joe Biden.

Kuanzia hapo Trump atabaki na walinzi ambao wako responsible kumlinda Rais Mstaafu (Trump).

Hiyo pia ilitokea miaka ya 1800+ Nchini Marekani.

Trump kakata rufaa, anarudi
 
Mfuatilie Mh Rais Dr John Pombe Magufuli alipofanya ziara ya kikazi kwenye jimbo la Zitto Kabwe, Prof Jay, Peter Msigwa na wapinzani wengine, wanakiri wazi kuwa John Pombe Magufuli alipeleka maendeleo majimboni kwao bila ubaguzi.

Kauli za kisiasa na za kuomba kura huwa ni nyingi sana. Kikubwa ni kupata kura.

Kwenye majimbo yao John Pombe Magufuli alipeleka Wakuu wa wilaya, Ma DAS, wakurugenzi na watendaji wengine kwa ajili ya kusimamia shughuli za maendeleo.

Kwa John Pombe Magufuli kazi itaendelea.
Kwa hiyo Magufuli ndio hupeleka maendeleo sehemu..!!! The IQ of the Tanzanians is one of the lowest in the world and this is indisputable.
 
Hakuna kama ameriivi ndivyo mashabiki wa Trumpet wanaamini watashinda urais Marekani.

Taarifa ni kwamba Nusu ya Ulinzi wa White House umeenda kulinda makazi ya sasa ya Bwana Joe Biden.

Kama Trump atakataa kuondoka Ikulu ifikapo January 20, Nusu ya Walinzi wa Rais aliyeko madarakani waliobaki Ikulu mpaka sasa wataondoka na kumpa ulinzi Kamili Bwana Joe Biden.

Kuanzia hapo Trump atabaki na walinzi ambao wako responsible kumlinda Rais Mstaafu (Trump).

Hiyo pia ilitokea miaka ya 1800+ Nchini Marekani.
 
Futailia

Fuatilia Tweets za Trump na Tweets za BBC Swahili za Jana. Zinasema Trump amekiri kuwa Joe Biden ameshinda.

Imeishaaa hiyooo.
 
Back
Top Bottom