Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za kilimo Ni sawa na kutupatia hewa ya Moto ili tuvute.
Ndugu zangu, mwaka jana wakulima wakipata shida kubwa sana juu ya bei ya pembejeo kutokanaa na Bei kubwa ya pembejeo hasa mbolea, hali hii ilipunguza uzalishaji kutokanaa na kushindwa kumudu bei, lakini Watanzania tuliendelea kuwa na matumaini na Mh Rais kutokanaa na maneno yake ya kushugulika suala hilo.
Hatimaye leo Mh Rais ameibua shangwe baada ya kutangazwa hadharani juu ya Ruzuku itakayotolewa na Bei zitakavyokuwa kwa msimu huu, hakika mama ameacha shangwe huku mitaaana ni wimbo wa Mamaa maamaa Mamaa Mamaa maamaa anaupiga mwingi sanaaaaa.
Wana nyanda za juu kusini mioyo yao ni Safi kwa Sasa, wanasema wapo na mama popote Alipo watakuwa Naye, wanasema Huyu mama Ni zawadi kwetu watanzania, nami nasema mama Ni mpango wa Mungu na Mungu akikuinua hakuna wa kukushusha, mama mama kazi iendelee.