Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

hee!!.hivi kumbe leo mama kaongea!!?....nilikuwa sina habari. simba day imefunika habari za mama.
 
Hakuna
Petroli ni zaidi ya shs 3400 na miezi kazaa iliyopita bei ilikuwa shs 1600, yaani zaidi ya 1600 imeongezeka. Tunachotaka Rais Samia apunguze bei ya mafuta, aache kabisa mara moja kumsema vibaya Dkt Magufuli.
Rais wetu Ni mtu mwenye hekima na busara Sana na hawezi kufanya Jambo Hilo, pia mh Rais hajapandisha Bei ya bidhàa ya mafuta na ndio maana unaona jitihada zake katika kushugulika na suala Hilo ikiwepo kuweka Ruzuku katika mafuta
 
Unaulizia soko la nini?mbolea au mazao?
Wewe zalisha kwa wingi
Dah,huu mwandiko kweli ni wa NEW MEMBER humu JF!
Lucas mwashambwa ungemshauri Mama yenu kuwa kwanini msijenge kiwanda kikubwwaaa Cha mbolea Nyanda za juu kusini?Kama kweli mna nia ya dhati ya kupunguza gharama za mbolea nchini.

Inashangaza kweli kwa nchi Kama Tanzania yenye wasomi wa kutosha wa Mambo ya kilimo kutoka vyuo vya kuaminika Kama SUA eti mbolea tunaagiza nje ya nchi.

Pia umshauri hiyo mbolea ya ruzuku isigawiwe kwa Makada wa C.C.M tu,ruzuku itolewe Kama ile ya mafuta bila kuandikisha majina😞
Usijariii mkuu mama anaendelea kufanya mazungumzo na wawekezaji ya kuhakikisha viwanda vya mbolea vinajengwa hapa nchini
 
hee!!.hivi kumbe leo mama kaongea!!?....nilikuwa sina habari. simba day imefunika habari za mama.
Simba haiwezi funika habarii za mama wakati unaona mabango ya mama yamebebwa Hadi uwanjani kuonyesha namna mama anavyopendwa na kukubalika, huoni watu wanavyoyafurahia mabango ya mama wakiyaona
 
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za kilimo Ni sawa na kutupatia hewa ya Moto ili tuvute, ndugu zangu mwaka Jana wakulima wakipata shida kubwa Sana juu ya Bei ya pembejeo kutokanaa na Bei kubwa ya pembejeo hasa mbolea, Hali hii ilipunguza uzalishaji kutokanaa na kushindwa kumudu Bei, lakini watanzania tuliendelea kuwa na matumaini na mh Rais kutokanaa na maneno yake ya kushugulika suala Hilo, hatimaye Leo mh Rais ameibua shangwe baada ya kutangazwa hadharani juu ya Ruzuku itakayotolewa na Bei zitakavyokuwa kwa msimu huu, hakika mama ameacha shangwe huku mitaaana Ni wimbo wa Mamaa maamaa Mamaa Mamaa maamaa anaupiga mwingi sanaaaaa, Wana nyanda za juu kusini mioyo yao Ni Safi kwa Sasa, wanasema wapo na mama popote Alipo watakuwa Naye, wanasema Huyu mama Ni zawadi kwetu watanzania, Nami nasema mama Ni mpango wa Mungu na Mungu akikuinua hakuna wa kukushusha, mama mama kazi iendeleeee
Huku Mbeya na Southern Highlands Samia keshashinda mchana kweupe na vile kulitengwa na Mwendazake Sasa hivi katupa wawakilishi akiwemo Speaker anafanya Kazi nzuri Sana..

Pili binafsi nimefurahishwa na ujenzi wa barabara km 32 dual carriage way,kutoa ekari 500 za kujenga udsm chuo Cha afya na teaching Hospital,pia kuanza ujenzi wa mradi wa maji zaidi ya Bil.250 yatafika hadi Songwe na mwisho kutoa eneo kwa akili ya epz na ekari 50 za kuanza ujenzi wa canser institute..

Leo kaingia Njombe.
 
Mwakyembe aliwahi kuahidi soko la mchele wa Kyela Marekani , hakuwahi kutimiza na alipoulizwa akawa mbogo na kuanza kijilinda na digrii 4 .

Inahitaji muda kidogo kabla hujasifia
Yangu lini Mwakyembe akawa na akili kama za Bashe?

Hata hivyo Rafael group wanauza mchele hadi Ufaransa
 
Huku Mbeya na Southern Highlands Samia keshashinda mchana kweupe na vile kulitengwa na Mwendazake Sasa hivi katupa wawakilishi akiwemo Speaker anafanya Kazi nzuri Sana..

Pili binafsi nimefurahishwa na ujenzi wa barabara km 32 dual carriage way,kutoa ekari 500 za kujenga udsm chuo Cha afya na teaching Hospital,pia kuanza ujenzi wa mradi wa maji zaidi ya Bil.250 yatafika hadi Songwe na mwisho kutoa eneo kwa akili ya epz na ekari 50 za kuanza ujenzi wa canser institute..

Leo kaingia Njombe.
Mama anaupiga mwingi Sanaa mpaka wananchi wamemkubalii sanaaa utendaji kazi wake
 
Mama anaupiga mwingi Sanaa mpaka wananchi wamemkubalii sanaaa utendaji kazi wake
Samia hana mambo ya kutafuta cheap popularity na kinachomsaidia ana exposure..

Leo pia nimependa amewa mind watu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi hasa issues ya NARCO..

Ila ningependa Rais awabadili wale watu wa pale juh maana unaweza walaumu bure kumbe watu wenyewe wamekulia kwenye mfumo wa utumishi wa Umma tofauti na kina Bashe ambao ni Wafanyabiashara na wana exposure na experience ya jinsi ya kufanya Ili kuleta tija..

Ile ni Wizara inayotakiwa kuleta pesa,watafutwe watu wenye uwezo kutoka private sector watakuja na mipango na Ubunifu then Nchi itapata pesa.
 
Kabisaa mkuu, kilimo kikiinuka na kufanikiwa ndio utakuwa mwisho wa umasikini katika nchi hii ,maana ndio secta iliyobeba na kuajiri watanzania wengi sanaa
 
E
Huku Mbeya na Southern Highlands Samia keshashinda mchana kweupe na vile kulitengwa na Mwendazake Sasa hivi katupa wawakilishi akiwemo Speaker anafanya Kazi nzuri Sana..

Pili binafsi nimefurahishwa na ujenzi wa barabara km 32 dual carriage way,kutoa ekari 500 za kujenga udsm chuo Cha afya na teaching Hospital,pia kuanza ujenzi wa mradi wa maji zaidi ya Bil.250 yatafika hadi Songwe na mwisho kutoa eneo kwa akili ya epz na ekari 50 za kuanza ujenzi wa canser institute..

Leo kaingia Njombe.
Ekari 500 za kujengwa chuo?!kazitoa wapi ndani ya Mbeya?mjini Mbeya,Mbalari,Chunya,Rungwe au Mbeya vijijini?
 
E

Ekari 500 za kujengwa chuo?!kazitoa wapi ndani ya Mbeya?mjini Mbeya,Mbalari,Chunya,Rungwe au Mbeya vijijini?
Zipo nyingi Sana,zimetoka kwenye eneo la Tanganyika packers Wana ekari 7500..

Pale TBC iwambi zitatolewa ekari 50 za kujenga Hospital ya Cancer tawi la Ocean Road Wana ekari 665.
 
Vijana hawaeleweki....hawazijui siasa, wana njaa kali,Wasaga viatu huku wakiimba pambio za kusifu na kuabudu bila kujali wanazitamani teuzi.... ukweli hawaujui maana nguvu za kufanya kazi hawana, hawawezi kujitegemea bali ni wa kutegemezwa wamekosa njia hawana muelekeo wamekuwa bendera hawawezi kukwepa upepo
 
Zipo nyingi Sana,zimetoka kwenye eneo la Tanganyika packers Wana ekari 7500..

Pale TBC iwambi zitatolewa ekari 50 za kujenga Hospital ya Cancer tawi la Ocean Road Wana ekari 665.
Hii Tanganyika Packers ndio iko maeneo ya wapi pale Mbeya? Nimefanya kazi Mbeya miaka miwili sijawahi kusikia hili eneo.
 
Back
Top Bottom