Hotuba Ya Rais Samia Yapongezwa kila Kona Mitaani, Yawakosha na kuungwa Mkono na Watanzania

Hata mimi nampongeza kwa kuwa imeonekana jinsi wasaidizi wake wasipojua kuandaa hotuba aisee .I was in love of my president but since yesterday nimeona Kuna shida aisee.Next time atakuja na hotuba inayoakisi taasissi ya uraisi
 
Lucas tena, hapo juu kuna uzi kuponda hiyo hotuba. Wewe unasema watanzania wanapongeza.

Hivi wewe zimo zote? Au unazo za ugali tu.
Wenye akili Timamu wameona namna hotuba ya Mheshimiwa Rais ilivyo kuwa ya viwango vya juu
 
Hata mimi nampongeza kwa kuwa imeonekana jinsi wasaidizi wake wasipojua kuandaa hotuba aisee .I was in love of my president but since yesterday nimeona Kuna shida aisee.Next time atakuja na hotuba inayoakisi taasissi ya uraisi
Wewe ndio mwenye shida ya uelewa
 
Comments hapa kwenye hii taarifa iliyowafikia Wazungu zinamsifu Rais Kwa kuwakoromea Wazungu.

Africa inaamka Sasa ,viva SSH tunataka Kauli kama hizo 👇👇

View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=4cP5nYTqzqlaAHCw
 
The headless chicken Lucas Mwashambwa is here again!
 
Wewe muongo,acha uongo.haijaungwa mkono na Watanzania labda wewe peke yako na chawa wenzako
 
Tunapata maslahi gani kutanguliza itikadi zetu na maslahi yetu binafsi kwenye maslahi ya Umma?.
CCM, CDM ni wawakilishi wa wanachi tu..
Kwa nini tunakuwa na njaa za kichwani namba hii?
Masuala yanayogusa Umma kwanini yachopekewe uchama?

Ninadhani ipo haja ya kutafuta buffer zone kwa ajili ya kutoa nafasi ya public interests. Tuache siasa nyepesi Kaka
 
Taifa la Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…