Hotuba ya Rais Samia yasubiriwa kwa hamu na Wakenya

Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake,watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia,wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika,Mtetezi wa Afrika,Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake ,ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina ,gafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa analizungumzia maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani , utulivu, mshikamano, upendo na umoja .wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikanda kama Taifa.ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Lucas mashamba nakupachika cheo kama KUNGUNI wa mama Samia, Samia Acha sisi chawa tubaki na vyeo hivi hivi. 😀😀😀
 
Mzee ukute unaandika political satire hapa
 
Nionyeshe kwa uthibitisho hayo uyasemayo hapa.

Ungekuwa na lengo na Nia njema Kwa mheshimiwa Rais then ungekuja na chanzo cha taarifa yako

Ila because uko hapa kumkejeli so unaongea Tu mambo ya hewani

Unachokifanya wewe ni Sawa na kumwambia mtu mfupi kuwa watu wanasifia urefu wake

Hii sio sifa ni dharau
 
Ajiangalie huyi Maana serikali ya mh Rais haitamuacha salama ,kwa kuwa inahitaji kila kiongozi atoke ofisini kwenda kuwasikiliza watu na kutoa majibu stahiki
 
Ajiangalie huyi Maana serikali ya mh Rais haitamuacha salama ,kwa kuwa inahitaji kila kiongozi atoke ofisini kwenda kuwasikiliza watu na kutoa majibu stahiki
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari zinazoendelea kusambaa kwa kasi ya moto wa petroli juu ya nyasi kavu ni kuhusu kutua kwa kishindo kwa Rais Samia Suluhu Hasssan katika Ardhi ya kenya. Imekuwa ni Gumzo kubwa mitandaoni huko kenya.yatarajiwa kazi zote kwenda kusimama huko kenya pale Rais samia atakapokuwa anatoa hotuba yake,watu wasubiri kwa hamu sana hotuba yake utafikiri ujio wa Rais mstaafu Barack Hussein Obama mwaka 2015.

Hii ni kutokana na sifa kubwa sana ya kiuongozi na uchapa kazi wake aliouonyesha Tangia aingie madarakani mwaka 2021, wakenya na Waafrika wengi sana wanatamani na kuvutiwa sana na maono ya Rais samia,wengine mpaka wamefikia hatua kutamani angezaliwa katika nchi zao. Wanamuona kwa sasa kama Mama Afrika,Mtetezi wa Afrika,Nuru ya wanyonge na mlinzi wa Rasilimali za Afrika.

Rais samia anaonekana kwa sasa ndio Tumaini na nguzo ya utulivu katika nchi za ukanda huu wa maziwa makuu,anaonekana ndio mtu na kiongozi anayeweza kusuluhisha migogoro na akasikilizwa na viongozi wote katika ukanda wetu kutokana na utulivu wake, uadilifu wake,maono yake,uzoefu wake ,ukomavu wake kidiplomasia na weledi wake wa hali ya juu katika utatuzi wa migogoro ya aina yoyote ile. Wanajuwa kuwa ni Rais aliyeiva na kukomaa kiuongozi kutokana na kushika nafasi mbalimbali na kuiwakilisha nchi yetu katika mikutano, makongamano,semina ,gafla mbalimbali huko Duniani.

Ni bahati ya kipekee sana ambayo wakenya wameipata kupata fursa ya kumuona Rais samia na kumsikia akitoa hotuba mbele yao.kwa hakika itawabidi wachukue kalamu na notebook ili kuchukua dondoo za kile atakachokuwa analizungumzia maana ni bahati ambayo hawawezi kuipoteza. Hata wao wanatamani kuishi kama sisi watanzania kwa amani , utulivu, mshikamano, upendo na umoja .wanatamani wawe kama sisi tulivyo Shikanda kama Taifa.ndio maana watamtizama Rais samia kwa jicho la kipekee sana katika kupata Busara na hekima zake.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kwahiyo hapo mwenyewe unasubiri teuzi sio... fanya yote... jidhalilishe uwezavyo ila tambua juhudi haishindi kudra!
 
Wakenya hutuna shobo naye kbsa,,, kwanza akijaribu kuhutubia kwa kiswahili ndo kbsa atakuwa ameharibu.
 
Hali ni ngumu sana mtaani saivi tu umeme umekatika na kuunguza friji langu sijui ntaishije na ndio lilikuwa tegemeo langu. 😭😭 Nimejibana miaka 10 mpaka kununua hili friji sijuwi itakuaje sasa 😭
Weka fridge guard.

Tanesco kuna form unajaza unalipwa. Hii ipo miaka mingi sana, siyo kitu kipya.
 
Wakenya hutuna shobo naye kbsa,,, kwanza akijaribu kuhutubia kwa kiswahili ndo kbsa atakuwa ameharibu.
Acha mawazo ya kitumwa.kiswahili ni lugha inayotambulika maeneo mengi sana hadi na umoja wa Afrika. Kwani mchina akija hapo kwenu huwa anaongea lugha gani? Au mjerumani anaongea kingereza akija hapo? Jiokoe kutoka katika shimo la utumwa kifikra
 
Kuna mradi mkubwa sana mama Samia alisaini na Ruto, wa pipeline mpya ya gad kwenda Kenya.

Hapo wamekutana wote ni Marais wapenda maendeleo kiutendaji, siyo kwa maneno matipu, tutegemee mema sana, "win win situation" - kwa sauti ya Magufuli.
 
Back
Top Bottom