Hotuba ya Rais Samia yasubiriwa kwa hamu na Wakenya

Lucas mashamba nakupachika cheo kama KUNGUNI wa mama Samia, Samia Acha sisi chawa tubaki na vyeo hivi hivi. 😀😀😀
 
Lucas mashamba nakupachika cheo kama KUNGUNI wa mama Samia, Samia Acha sisi chawa tubaki na vyeo hivi hivi. 😀😀😀
Mimi nawasilisha ukweli tu maana Dunia ipo kiganjani na huko kenya Rais wetu amekuwa ni gumzo.
 
Mzee ukute unaandika political satire hapa
 
Nionyeshe kwa uthibitisho hayo uyasemayo hapa.

Ungekuwa na lengo na Nia njema Kwa mheshimiwa Rais then ungekuja na chanzo cha taarifa yako

Ila because uko hapa kumkejeli so unaongea Tu mambo ya hewani

Unachokifanya wewe ni Sawa na kumwambia mtu mfupi kuwa watu wanasifia urefu wake

Hii sio sifa ni dharau
 
Ajiangalie huyi Maana serikali ya mh Rais haitamuacha salama ,kwa kuwa inahitaji kila kiongozi atoke ofisini kwenda kuwasikiliza watu na kutoa majibu stahiki
 
Ajiangalie huyi Maana serikali ya mh Rais haitamuacha salama ,kwa kuwa inahitaji kila kiongozi atoke ofisini kwenda kuwasikiliza watu na kutoa majibu stahiki
 
Kwahiyo hapo mwenyewe unasubiri teuzi sio... fanya yote... jidhalilishe uwezavyo ila tambua juhudi haishindi kudra!
 
Wakenya hutuna shobo naye kbsa,,, kwanza akijaribu kuhutubia kwa kiswahili ndo kbsa atakuwa ameharibu.
 
Hali ni ngumu sana mtaani saivi tu umeme umekatika na kuunguza friji langu sijui ntaishije na ndio lilikuwa tegemeo langu. 😭😭 Nimejibana miaka 10 mpaka kununua hili friji sijuwi itakuaje sasa 😭
Weka fridge guard.

Tanesco kuna form unajaza unalipwa. Hii ipo miaka mingi sana, siyo kitu kipya.
 
Wakenya hutuna shobo naye kbsa,,, kwanza akijaribu kuhutubia kwa kiswahili ndo kbsa atakuwa ameharibu.
Acha mawazo ya kitumwa.kiswahili ni lugha inayotambulika maeneo mengi sana hadi na umoja wa Afrika. Kwani mchina akija hapo kwenu huwa anaongea lugha gani? Au mjerumani anaongea kingereza akija hapo? Jiokoe kutoka katika shimo la utumwa kifikra
 
Kuna mradi mkubwa sana mama Samia alisaini na Ruto, wa pipeline mpya ya gad kwenda Kenya.

Hapo wamekutana wote ni Marais wapenda maendeleo kiutendaji, siyo kwa maneno matipu, tutegemee mema sana, "win win situation" - kwa sauti ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…