Hotuba ya Rais Samia yasubiriwa kwa hamu na Wakenya

Samia mwenyewe akiona hizi sifa ulizompa atakudharau sana
 
Si
Si bure, huenda umelalia Mombasa ndo maana unawashwa kila sikum
 
Upunguani mwingine mpaka unatia aibu hata kwa watu wengine, ile kujua tu aliyeandika haya ni binadamu anayeamini ana utimamu wa akili.
 
Kenya haina wajinga wa hivyo. Usidhani wakenya ni kama sisi tuliolala wa kusubiri porojo za viongozi bila utekelezaji.
 
Dah aisee chawa was mama kweli mnahangaika yaani wakenya walivyo wasubilie bi tozo kwa kweli
 
Acha mawazo ya kitumwa.kiswahili ni lugha inayotambulika maeneo mengi sana hadi na umoja wa Afrika. Kwani mchina akija hapo kwenu huwa anaongea lugha gani? Au mjerumani anaongea kingereza akija hapo? Jiokoe kutoka katika shimo la utumwa kifikra
Kaka niliwahi kukuambia fungua uzi hapa jf umweke huyo rais wako na mtu mdogo tu mwabukusi alafu useme watu pigeni kura 😀 utaona maana hali ya KO
 
Jpm kuna muda alikuwa anazingua sana ila alikuwa na nyota ya kupendwa sana na watu
 
Hata unye wima hupati teuzi !
 
Kaka niliwahi kukuambia fungua uzi hapa jf umweke huyo rais wako na mtu mdogo tu mwabukusi alafu useme watu pigeni kura 😀 utaona maana hali ya KO
Rais Samia Hawezi kushindanishwa na watu aina ya Mwabukusi.Ndio maana hata CHADEMA wenyewe tu walimtosa kwenye kugombea ubunge Mbeya mjini hadi akaamua kukimbia.sasa mtu huyo unawezaje kumshindanisha na mwamba na mama wa shoka Rais samia?
 
Mwambie anze kutumbua tumbua tumemisi hayo mambo Kwa Sasa Jiwe alishatuzoesha

Au yeye katika serikali yake hakuna wavivu, wazembe na mafisadi
 
Kenya haina wajinga wa hivyo. Usidhani wakenya ni kama sisi tuliolala wa kusubiri porojo za viongozi bila utekelezaji.
Tindo Rafiki yangu ningependa kukwambia ya kuwa Rais samia ni kipenzi cha wana Afrika mashariki.Ndio Rais anayeheshimika katika ukanda huu wote ambapo uchapa kazi wake umekuwa kivutio cha wengi.
 
Mwambie anze kutumbua tumbua tumemisi hayo mambo Kwa Sasa Jiwe alishatuzoesha

Au yeye katika serikali yake hakuna wavivu, wazembe na mafisadi
Yeyote atakaye Gusa pesa za umma lazima akione cha mtema kuni .kikubwa unachopaswa kuelewa ni kuwa Rais samia huwa anafanya na kuchukua hatua baada ya kuwa na Taarifa zote mkononi mwake .ni kiongozi ambaye hafanyi vitu kwa mihemuko au kukurupuka. Ni mama mtulivu na mwenye kujuwa nini maana ya uongozi
 
Soma hyo mwashamba ukishindwa bibi yako anaweza just call her akusaidie
Mh Ruto alitetemeka sana Baada ya kishindo cha Rais Samia kutua katika Ardhi yake ,ndio maana akashindwa kuonana na mama wa shoka.
 
Mh Ruto alitetemeka sana Baada ya kishindo cha Rais Samia kutua katika Ardhi yake ,ndio maana akashindwa kuonana na mama wa shoka.
Kula chuma hichoo. Mama alienda holday tu kule wenyewe wanasema 😀😀
 
Attachments

  • Screenshot_20230905-120135.png
    18.9 KB · Views: 2
Tindo Rafiki yangu ningependa kukwambia ya kuwa Rais samia ni kipenzi cha wana Afrika mashariki.Ndio Rais anayeheshimika katika ukanda huu wote ambapo uchapa kazi wake umekuwa kivutio cha wengi.
Narudia tena, Wakenya hajalogwa na mwenge wa uhuru, hivyo hakuna mkenya ana muda wa kusikiliza porojo zake. Inshort hana jipya atakalowaambia.
 
Badala ya kuweka namba yako ya simu tuwekee picha yako tukutathimin ili tuone jinsi ya kukujibu kulingana na ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…