Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Hotuba ya Rais ya kuvunja Bunge la 11: Ni vitu gani kama vioo vipo mbele ya Mheshimiwa Rais - teleprompter ya kusomea ni nini?

Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!
FB_IMG_15926567669799688.jpeg
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Zao la JK na watoto wake pendwa January ndio walio suggest kikanunuliwa !!!
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Nadhani sasa umeshajua na ushamba umeshakutoka. Ni kitu cha kawaida sana hicho, ni kioo tu na unaweza kukipata hata chini ya dola mia moja tu.
 
Hicho ni kioo cha kusomea maandishi ni Kama screen ipitishayo maandishi pana kuwa na controller saver room ana monitor kulingana na uelekeo na mawazo ya msomaji
 
Soma kifaa kinachoitwa teleprompter..sijui mechanism yake vizuri ila ndicho alichotumia.. na hicho kioo kinaitwa teleprompter glass
 
Kumbe!! Sasa how kinafanya kazi?
Using a teleprompter is similar to using cue cards. The screen is in front of, and usually below, the lens of a professional video camera, and the words on the screen are reflected to the eyes of the presenter using a sheet of clear glass or a specially prepared beam splitter.

Nenda YouTube andika teleprompter then watch out utaelewa main slides ziko chini meza yake zile plastics pale ni kama mirror zina reflect from main source dunia nzima hutumika hivyo since 1980 huko sisi tumepata 2012 hivi
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Namna hii kwanini ccm isitawale milele ikiwa wapuuzi bado wengi
Nilitegemea mjadala ungekuwa hali nchi kiuchumi kisiasa nk sio kujadili huo ujuha
 
A teleprompter, also known as an autocue, is a display device that prompts the person speaking with an electronic visual text of a speech or script. Using a teleprompter is similar to using cue cards.

The screen is in front of, and usually below, the lens of a professional video camera, and the words on the screen are reflected to the eyes of the presenter using a sheet of clear glass or a specially prepared beam splitter.

Light from the performer passes through the front side of the glass into the lens, while a shroud surrounding the lens and the back side of the glass prevents unwanted light from entering the lens.

Mechanically this works in a very similar way to the "Pepper's Ghost" illusion from classic theatre – an image viewable from one angle but not another – and the concept may have similar origins.
 
Namna hii kwanini ccm isitawale milele ikiwa wapuuzi bado wengi
Nilitegemea mjadala ungekuwa hali nchi kiuchumi kisiasa nk sio kujadili huo ujuha
Mbona Wewe mwenyewe naona bado mpuuzi tuu!
 
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284

Mkuu hizo zinaitwa teleprompter na aliyeanza kuzitumia kama sikosei kwenye medani ya siasa zaidi alikuwa Barak Obama wakati wa uongozi wake ingawaje Television presenters walikuwa ndio wakizitumia kwa muda mrefu kidogo.
 
Back
Top Bottom