bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 767
- 1,083
Zao la JK na watoto wake pendwa January ndio walio suggest kikanunuliwa !!!Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Kumbe!! Sasa how kinafanya kazi?Zao LA JK na watoto wake pendwa January ndio walio suggest kikanunuliwa !!!
Nadhani sasa umeshajua na ushamba umeshakutoka. Ni kitu cha kawaida sana hicho, ni kioo tu na unaweza kukipata hata chini ya dola mia moja tu.Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Usijifanye unajua Kila kitu sawa!!Ivi hata bil kuambiwa.. inamaana hata body language na facial expression yake haikutosha kukuonyesha kua anasoma?
Tuna kizazi chenye Ukilaza sana.
Mimi sijui kila kitu , ila mambo mengine uwe unajiongeza tu .Usijifanye unajua Kila kitu sawa!!
Using a teleprompter is similar to using cue cards. The screen is in front of, and usually below, the lens of a professional video camera, and the words on the screen are reflected to the eyes of the presenter using a sheet of clear glass or a specially prepared beam splitter.Kumbe!! Sasa how kinafanya kazi?
Namna hii kwanini ccm isitawale milele ikiwa wapuuzi bado wengiHabari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284
Kumbe!! Sasa how kinafanya kazi?
Unachekaaaa! Umemaliza kucheka?Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee maajabu ya JF.
Mbona Wewe mwenyewe naona bado mpuuzi tuu!Namna hii kwanini ccm isitawale milele ikiwa wapuuzi bado wengi
Nilitegemea mjadala ungekuwa hali nchi kiuchumi kisiasa nk sio kujadili huo ujuha
Habari wakuu, siku mheshimiwa anavunja bunge nilishangaa kuona mkuu anatema data Kama zote na hakosei ingawa uwezo wake wa data upo juu Sana ila siku nilishangaa kuona Kama anashusha nondo zaidi, Sasa Kuna jamaa kaniambia eti kale kakioo ndo kalikuwa kanamuonyesha hotuba aliyoiandaa. Wakuu naombeni kwa mwenye uelewa atutoe ushamba!View attachment 1484284