Mh tutakula matango pori hapa hadi tujue!!Nuclear weapons detector
Sawa mkuu. Alafu mbona glass katika picha ya Rais Magufuli ipo transparent sana tofauti na glasses katika picha za hao viongozi wengine, ambapo hizo glasses zinaonekana zipo "tinted"?Yeye anaona ila upande wa Audience hamuoni kitu zaidi ya glass tu
mwambieni aache usharobaroYeye anaona ila upande wa Audience hamuoni kitu zaidi ya glass tu
Tena ukizingatia ni member mzuri wa jamii intelijensiMkuu acha kutuzuga hapa wewe usijue kinaitwaje?
Mkuu, mimi ni kijana mmoja wa kawaida sana kaka mkubwa.Tena ukizingatia ni member mzuri wa jamii intelijensi
kuna watu wachache wanamtukana Rais Magufuli Dawa yao inachemka.Alafu Mh. Trump anazo mbili na sio moja
Mkuu, ni trump au nani?mwambieni aache usharobaro
kwahiyo maandishi anayaona yeye tuu,..sisi tunaona kioo?lolHio inaitwa teleprompter humsaidia Rais kusoma hotuba huku akiwa focused na Audience kwa eye contact
Hata mimi nilikuwa ninashangaa ujue. Angalia kioo katika picha ya Dr. JPM kiko transparent kabisa mpaka bendera unaiona tofauti na hizi picha zingine.kwahiyo maandishi anayaona yeye tuu,..sisi tunaona kioo?lol
viini macho vya kidhungu jomoniii,😀Hata mimi nilikuwa ninashangaa ujue. Angalia kioo katika picha ya Dr. JPM kiko transparent kabisa mpaka bendera unaiona tofauti na hizi picha zingine.
Hakika wazungu ni shiiiiiidaviini macho vya kidhungu jomoniii,😀
sawa mkuuHio inaitwa teleprompter
Kwa hakika kwa threads zako na michango yako humu JF sikutegemea kabisa kuwa hujui hiki kifaa ni cha kazi gani mkuu. Anyway, ndiyo kujifunza.Ushamba wangu umenitesa sana mkuu. Bado nina mengi sana ya kujifunza hapa duniani.
Kuna mambo mengi sana ambayo siyafahamu hapa duniani mkuu. Bado nina safari ndefu sana ya kujifunza kupitia members wa JF kama wewe. Hakika JF ni kisima cha maarifa.Kwa hakika kwa threads zako na michango yako humu JF sikutegemea kabisa kuwa hujui hiki kifaa ni cha kazi gani mkuu. Anyway, ndiyo kujifunza.
Ndio mkuukwahiyo maandishi anayaona yeye tuu,..sisi tunaona kioo?lol
Okayhumsaidia Rais kusoma hotuba huku akiwa focused na Audience kwa eye contact
sawa mkuukioo maalum ambacho huwa kina hotuba ya mheshimiwa rais
Hiki kifaa mimi nilianza kukiona tangia enzi za Rais Dr. J.M KikweteKwa Amerika naonaga ila kwa kwetu ndo kwanza nimeona kwenye hiyo picha ya Magufuli
kila nikiona Id yako najua mwanausalama kutokana na mada nyingi unazoandika 👉 Jamii intelligence huwa nakufuatilia sana, hicho kioo ndio mara ya kwanza na kiona wadau wamesha kielezea asante kwa kwa kuuliza.Mkuu, mimi ni kijana mmoja wa kawaida sana kaka mkubwa.
Bado sijui mambo mengi sana hapa duniani.
I need to learn from people like you.