Punga limejitokeza kuharibu mada.Tukidai kodi ya madini yetu tutashitakiwa MIGA ~~~Lisu.
Lisu yuko smart kwa manufaa ya wabeligiji wenzake
Unamuonea wivu Lissu?.Tukidai kodi ya madini yetu tutashitakiwa MIGA ~~~Lisu.
Lisu yuko smart kwa manufaa ya wabeligiji wenzake
Inawezekana mwezi hauko kona ndiyo maana. Subiri mwezi ukiwa kona ndiyo utamjua tundu lisu halisi ni nani!Leo Tundu Lisu alikuwa anapangikia maneno
Tukidai kodi ya madini yetu tutashitakiwa MIGA ~~~Lisu.
Lisu yuko smart kwa manufaa ya wabeligiji wenzake
😲😲😲Kanuni namba moja ya uongo msingizie marehemu kuwa aliwahi kutaka kumteua Lisu kama Mwanasheria mkuu
Huku muongo ukijua kuwa marehemu hawezi fufuka kuthibitisha hayo
Marehemu akiwemo Magufuli baada ya kifo waongo wanamtumia sana kutunga uongo.wao
😲😲😲Hakuna mahali Mwamba Magufuli aliwahi HATA KUFIKIRI kumpa Mropokaji na Mhuni Lissu Utendaji wa Kijiji achilia mbali kuwa Mwanasheria Mkuu. Hizo ni propaganda za kipumbavu kwa watu wapumbavu!
Huko alienda mwenyewe? bila wewe kwenda Dodoma kutaka kumuua angefikaje huko?Tukidai kodi ya madini yetu tutashitakiwa MIGA ~~~Lisu.
Lisu yuko smart kwa manufaa ya wabeligiji wenzake
Huo ndiyo ukweliMagufuli alikuwa anamwelewa Sana Lissu ila alikuwa anakereka ni kwa nini Lissu hana hofu kwa mikwara aliyokuwa anaitoa!?
Kwani wewe upo sawa? Nani kakuambiwa upo sawa? Katibiwe kwanza ndipo uje na utabiri wako wa kishambaInawezekana mwezi hauko kona ndiyo maana. Subiri mwezi ukiwa kona ndiyo utamjua tundu lisu halisi ni nani!
Huyo Babu Gombe ni mzimu kaja kufanya biashara CCM Tenda zote za uchaguzi atampa mwanaeLissu ndiye mwanasiasa bora hapa tz na pia ni simba ingawa kuna viumbe wameibuka kutoka mbuga ya GOMBE wakijaribu kuitumia mbele zake
Wewe ndiyo muongo mkubwa kukataa vya marehemu wakati hukuwa ukishinda nae mda wote uongo wako umejidhihirisha waziKanuni namba moja ya uongo msingizie marehemu kuwa aliwahi kutaka kumteua Lisu kama Mwanasheria mkuu
Huku muongo ukijua kuwa marehemu hawezi fufuka kuthibitisha hayo
Marehemu akiwemo Magufuli baada ya kifo waongo wanamtumia sana kutunga uongo.wao
Wewe mwenyewe mwehu Akili huna unawezaje kujua upuuzi wakati Kichwani huna Ubongo?Rubbish at work, hivi wajisikiaje post upuuzi ka huu
Kiswahili chako ni kama huyo jamaa yetu anavyoongea mwezi ukiwa konaKwani wewe upo sawa? Nani kakuambiwa upo sawa? Katibiwe kwanza ndipo uje na utabiri wako wa kishamba
Wewe mwenyewe mpumbavu mhuni muongo tokea lini magufuli akushirikishe kwenye mambo yake? Kwa Tabia zako za kishamba isingekuwa rahisi ujue mipango ya magufuli acha kujidai una Akili wakati kichwani umebakiza ubongo wa kufanyia uchawa pekeeHakuna mahali Mwamba Magufuli aliwahi HATA KUFIKIRI kumpa Mropokaji na Mhuni Lissu Utendaji wa Kijiji achilia mbali kuwa Mwanasheria Mkuu. Hizo ni propaganda za kipumbavu kwa watu wapumbavu!
Wewe mwenyewe upo kona baada ya kuvuta bangi unajiona Akili zako zipo sawaKiswahili chako ni kama huyo jamaa yetu anavyoongea mwezi ukiwa kona
Chawa wamemaliza kuvuta Bangi wanakuja kuleta usumbufu ngoja tuwakabili vilivyoP
Punga limejitokeza kuharibu mada.
Usikute umetoroka mirembe wewe inabidi tukakuulizie pale maana Akili zako hazipo sawaKiswahili chako ni kama huyo jamaa yetu anavyoongea mwezi ukiwa kona