Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

Hotuba ya Tundu Lisu Leo imenifumbua macho kwanini Magufuli alitaka kumteua awe Mwanasheria Mkuu, Tundu Yuko Vizuri kichwani!

Kanuni namba moja ya uongo msingizie marehemu kuwa aliwahi kutaka kumteua Lisu kama Mwanasheria mkuu

Huku muongo ukijua kuwa marehemu hawezi fufuka kuthibitisha hayo

Marehemu akiwemo Magufuli baada ya kifo waongo wanamtumia sana kutunga uongo.wao
😲😲😲
 
Hakuna mahali Mwamba Magufuli aliwahi HATA KUFIKIRI kumpa Mropokaji na Mhuni Lissu Utendaji wa Kijiji achilia mbali kuwa Mwanasheria Mkuu. Hizo ni propaganda za kipumbavu kwa watu wapumbavu!
😲😲😲
 
Lissu ndiye mwanasiasa bora hapa tz na pia ni simba ingawa kuna viumbe wameibuka kutoka mbuga ya GOMBE wakijaribu kuitumia mbele zake
Huyo Babu Gombe ni mzimu kaja kufanya biashara CCM Tenda zote za uchaguzi atampa mwanae
 
Kanuni namba moja ya uongo msingizie marehemu kuwa aliwahi kutaka kumteua Lisu kama Mwanasheria mkuu

Huku muongo ukijua kuwa marehemu hawezi fufuka kuthibitisha hayo

Marehemu akiwemo Magufuli baada ya kifo waongo wanamtumia sana kutunga uongo.wao
Wewe ndiyo muongo mkubwa kukataa vya marehemu wakati hukuwa ukishinda nae mda wote uongo wako umejidhihirisha wazi
 
Hakuna mahali Mwamba Magufuli aliwahi HATA KUFIKIRI kumpa Mropokaji na Mhuni Lissu Utendaji wa Kijiji achilia mbali kuwa Mwanasheria Mkuu. Hizo ni propaganda za kipumbavu kwa watu wapumbavu!
Wewe mwenyewe mpumbavu mhuni muongo tokea lini magufuli akushirikishe kwenye mambo yake? Kwa Tabia zako za kishamba isingekuwa rahisi ujue mipango ya magufuli acha kujidai una Akili wakati kichwani umebakiza ubongo wa kufanyia uchawa pekee
 
Chawa wapo Ghato wanavuta Bangi, ukiona chawa yeyote anamshambulia Lisu jua katoka kuvuta Bangi mpuuze
 
Chawa wapo busy kuvuta Bangi Ghetto ili waje kuvuruga mada, hivyo basi puuzeni ujinga wao wote kila watachoandika kionekane ni matokeo ya kuvuta Bangi
 
Back
Top Bottom